Harmonize amefanikiwa kuingiza ngoma yake ya Kwa Ngwaru kwenye Top 5 za Afro Boss Airline DNA za kipindi cha Destination Africa kinachoendeshwa na DJ Edu kupitia BBC Radio One Xtra.Wimbo huo umefanikiwa kushika namba mbili kwenye chati hizo wakati...
Msanii Davido na mpenzi wake Chioma wamezidi kuonyesha mapenzi yao ni kama njiwa baada ya kuyafanya siri kwa muda mrefu.Davido ameweka picha kwenye mtandao wake wa Instagram akiwa na mrembo wake huyo huku wakionekana wenye furaha kubwa na kuandika...
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga, Jack Chamangwana amefariki dunia hapo jana siku ya Jumapili majira ya jioni kwenye Hospitali ya Queen Elizabeth (QECH) nchini Malawi.Ripoti zinaeleza kuwa chanzo cha kifo chake ni kutokana na shinikizo la Moyo...
WATCH VIDEO
MFANYABIASHARA wa mitumba Hadija Hassan amefungua kesi ya madai ya matunzo ya mtoto dhidi ya msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya, Ali Kiba maarufu kama King Kiba. Katika kesi hiyo, Hadija anadai jumla ya Sh. milioni 1.41, ikiwamo Sh....
MKALI wa Bongo Movies, Irene Pancras Uwoya na mumewe, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, wamesema kuwa, wapo bize kwa sasa na wamekuwa wakikesha kumsaka mdogo wake Krish ambaye ni mtoto wa mwanamama huyo aliyezaa...
UTAMU wa ubuyu hauchagui mtoto wala mtu mzima, wote ni twende tu! Mwigizaji wa sinema za Kibongo ambaye ni mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) anayetumikia kifungo cha miezi mitano jela, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally amejikuta...
MSANII Harmonize amefunguka kumwogopa Mwarabu Fighter Baada ya kuenea Udaku kuwa Baunsa huyo wa Diamond anatoka kwa siri na Girlfriend wake kwa siri_Regrann from @harmonize_tz - Mara 10 ningesikia @mbosso_ anakula mzigo ningemsubiri pale @thelifeclub_1 tarehe 13/5/ na #kipanga...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amefunguka na kusema kuwa kwa siku kadhaa zilizopita amekuwa katika wakati mgumu na kushindwa kuelewa neno gani anaweza kumpa Mbunge wa jimbo la Tarime vijijini, John Heche kufuatia kifo cha mdogo wake Suguta ambaye...
Mfanyabiashara  wa mitumba Hadija Hassan amefungua kesi ya madai ya matunzo ya mtoto dhidi ya msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya, Ali Kiba maarufu kama King Kiba.Katika kesi hiyo, Hadija anadai jumla ya Sh. milioni 1.41, ikiwamo Sh....