Watu watatu wamefariki dunia papo hapo na wengine takribani 7 kujeruhiwa vibaya  baada ya Lori la mchanga aina ya SCANIA lililodaiwa kupata hitilafu katika mfumo wake wa breki kuwagonga.Taarifa za ajali hiyo zinasema, ajali imetokea katika maeneo ya Boko...
Mtoto wa video queen maarufu bongo Agnes Masogange ambaye alifariki mwishoni mwa mwezi uliopita,Sania Shaaban, amekataa kusoma shule za bweni ambazo ameahidiwa kusomeshwa na wafadhili, na kutaka kusoma shule za kutwa.Akizungumza na Big Chawa kwenye Planet3 Bogno ya East...
Mchezo ambao unasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka duniani kwa sasa ni fainali ya klabu bingwa barani Ulaya ambayo itawakutanisha Real Madrid na Liverpool Jumamosi ya Mei 26 mwaka huu.Tayari kamati ya waamuzi ya UEFA imemchagua mwamuzi...
Weekend iliyomalizika mpenzi wa Harmonize, Sarah aliingia kwenye headlines za uzito wa juu mara baada ya kuibuka taarifa zilizodai anatoka kimapenzi na Bodyguard wa Diamond Platnumz, Mwarabu Fighter.Sasa Sarah ameibuka na kueleza kuwa anatabasamu kwa kile kinachoendelea kwani yeye...
Mshindi wa BBA mwaka 2013 kutoka Namibia, (The Chase) Dillish Mathews baada ya kudaiwa kuwa kwenye mahusiano na mwanasoka wa Togo na klabu ya Istanbul Başakşehir, Emmanuel Adebayor – Wawili hao wamedaiwa kumwagana.Dillish na Adebayor waliingia kwenye vichwa vya...
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba yule mzungu wa Harmonize (Konde boy) Sarah kwa sasa haambiwi wala hasikii kitu kuhusu mwarabu fighter yaani anampenda mpaka kapitiliza ,zile pesa alizokuwa ana muhonga Harmonize kwa sasa kwa kiasi kikubwa...
Shirikisho la soka nchini kupitia kwa Bodi ya ligi (TPLB), limepangua mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara kati ya Mbao FC na Ndanda FC uliokuwa unatarajiwa kucheza Ijumaa ijayo.Taarifa ya TFF leo, imeeleza kuwa mchezo huo umerudishwa nyuma...
Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Nikki wa Pili amesema ili wasanii watambulike kama wafanyakazi ni lazima serikali itambue wasanii wanafaje kazi na iwapo wanataka kuilinda ijue inalinda kitu gani.Amesema baada hapo kinaweza kuanzishwa chama cha wasanii wafanyakazi...
HAWAII: Moja kati ya Volkano hai Ulimwenguni yalipuka na kuharibu nyumba 26. Lava yaruka zaidi ya mita 100 hewaniTakribani watu 1,700 wamelazimika kuondoka katika eneo hilo na wanapaswa kukaa mbali na eneo hilo lililokuwa makazi yao kwa mudaKilauea ni...
Sakata la kuzuiwa kwa meli mbili zenye tani 62,000 za mafuta ya kula katika Bandari ya Dar es Salaam, linatishia kuadimika kwa bidhaa hiyo baada ya viwanda vingi kusitisha uzalishaji.Tayari bei ya mafuta ya kula imeanza kupanda kutokana na...