Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi “Sugu'' amefunguka na kusema kuwa atawasha moto katika jiji la Mbeya Mjini pindi atakapotoka kutumikia kifungo chake cha miezi mitano jela ambapo sasa kinakwenda ukingoni.Sugu amesema hayo kupitia kwa Mwenyekiti wa baraza...
Lady JayDeeVerified account
@JideJaydee
Singer| Songwriter |Performer
Dar Es Salaam, Tanzania
youtu.be/RBeBx890Xpg
Joined June 2009
Tweet to Lady JayDee
Baada ya siku chache zilizopita mrembo na mjasiriamali, Zewena Yusuf Mohammed aka Shilole kutembelea chuo cha National College of Tourism NCT kwaajili ya kujionea kozi mbalimbali zinazotolewa chuoni hapo, mrembo huyo ameahidi kurudi chuoni hapo kwaajili ya kuchukua kozi...
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema hakuna utaratibu wowote unaoipa mamlaka Jeshi la Polisi kupiga raia au wageni kama baadhi ya askari wanavyowafanyia wananchi bali kuna utaratibu wa kisheria ambao unapaswa kufuatwa pindi raia au mgeni...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Tunda Man ambaye hivi karibuni ameachia kazi mpya, amempa makavu Bob Junior baada ya kusema kuwa amekurupuka kuachia kazi zaidi ya moja kwa pamoja, na kumtaka amuheshimu.
Akizungumza na eNewz ya East Africa Television,...
TAZAMA VIDEO!!!
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amelieleza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa kuna hazina ya kutosha ya mafuta ghafi ya kula nchini
Waziri Mwijage ametoa ufafanuzi huo leo Mei 07, 2018 baada ya Mbunge wa...
Ndugu wa marehemu Masogange wakiwemo wifi zake ambao pia ndio wanaishi na mtoto wake Sania, wamesema hawajapata taarifa zozote juu ya pesa ambazo zilichangwa na kamati ya wasanii, kwa ajili ya kumsaidia mtoto.
Wakizungumza na Big Chawa kwenye Planet Bongo...
Muigizaji wa Bongo movie Jacqueline Wolper amemtupia Dongo zito Sarah baada ya habari zake za kumtosa Harmonize na kumchukua Bodyguard wa Diamond, Mwarabu Fighter.Siku tatu zilizopita stori iliyotrend kupita zote ni ya mpenzi wa Harmonize Sarah kumtosa mpenzi wake...