Msanii wa muziki Bongo, Tunda Man amefunguka na kusema kuwa mashabiki wanaowashindanisha Alikiba na Diamond wanakosea.Muimbaji huyo kupitia Refresh ya Wasafi TV amesema kuwa Alikiba amemzidi Diamond na kinachotakiwa kuwepo kati yao ni heshima tu.“Hata wale wanaowashindanisha Diamond na...
Vanessa Mdee amekuwa akipambana kwa kila hali kuhakikisha muziki wake unafika mbali zaidi. Msanii huyo amekutana na producer na audio engineer, Humberto Gatica ambaye ni mshindi wa tuzo 16 za Grammy na kufanya naye kazi.Vanessa amekutana na producer huyo...
Meneja wa Diamond na AY, Sallam SK jana katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa ametangaza kulisimamia Kundi la Muziki la Nanvy Kenzo. Sallam amesema kuanzia wiki ijayo kazi za kundi hilo ambao lilikuwa kimya zitaanza kuachiwa. “Exclusive mimi ni meneja...

Video | Tekno–Jogodo

0
TAZAMA.... 
WATCH VIDEO
Waliokuwa Mabingwa watetezi,Yanga wamepokea kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.  Kufungwa kwa Yanga kuinaifanya ibaki na pointi 48 katika nafasi ya tatu,Azam FC katika nafasi ya pili wakiwa na pointi 49 na Simba...
Serikali imesema ipo katika mchakato wa kutafuta muwekezaji mwingine katika awamu ya pili ya mradi wa mabasi ya mwendokasi ikiwa kama njia ya kujaribu kutatua changamoto za usafiri katika Jiji la Dar es salaam.Hayo yamesemwa Bungeni leo Mei 10,...