Kikosi cha Yanga kinateremka dimbani Sokoine jioni ya leo kuvaana na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu Bara.Uongozi wa Yanga umesema unataka kutengeneza heshima hata kama wataukosa ubingwa wa ligi kwa kushinda mechi zote zilizosalia.Yanga inashuka dimbani ikiwa...
Jeshi la Magereza limesema mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu ametoka kwa msamaha wa Rais John Magufuli alioutoa kwa wafungwa katika maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Aprili 26, 2018.Akizungumza na MCL...
Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe amesema kuwa amefurahi kuona Mbunge mwenzake wa Mbeya Mjini kupitia tiketi ya CHADEMA, Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu pamoja na mwenzie Emmanuel Masonga wakitoka gerezani lakini amekataa kuwapa pole kwa...
Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ambaye ameachiwa huru leo kutoka gerezani alikofungwa akiwa na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Emmanuel Masonga, amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kutoka jela.Akizungumza na East Africa Radio, Sugu...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe amesema kwamba baada ya Sugu kuachiwa hatakwenda Bungeni moja kwa moja licha ya kwamba Bunge linaendelea, ila watamuacha arekebishe masuala yake ya kifamilia kwanza.Mbowe ametoa kauli hiyo leo alipokuwa akizungumza na East Africa...
Mchekeshaji maarufu wa kike nchini Tanzania, Ebitoke ameshindwa kuelewa kama Shilole ni msanii wa muziki au muigizaji kwani hafahamu hata kazi moja ya sanaa ambayo mrembo huyo alishawahi kuifanya zaidi ya kazi yake ya mama ntilie anayoifanya kwa sasa.Ebitoke...
HATIMAYE benchi la ufundi la Klabu ya Yanga limeamua kukubali kuwa wapinzani wao Simba kwa msimu huu ndiyo mabingwa huku wao sasa wakijipanga kuelekeza nguvu zao katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.Yanga ndiyo mabingwa watetezi wa ligi kuu...
Wasanii wa muziki Bongo, Ommy Dimpoz amesema kuna baadhi ya wasanii ‘wanatoa’ nyimbo mbaya ila wasanii wanzao wanaogopa kuwaambia.Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Yanje’ hilo linatokana wale wanaosema ukweli kuchukiwa siku zote.“Kuna nyimbo za wasanii...
EPL Table on 9 May