Mbunge wa Mbeya Mjini kwa tiketi ya Chadema, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ameachiwa huru kutoka gereza la Ruanda, Mbeya alipokuwa akitumikia kifungo cha miezi mitano.Sugu ameachia huru pamoja na katibu wa Chadema kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga.Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...
Naibu Spika Tulia Ackson ameagiza Mbunge wa Kibamba Mhe. John Mnyika na Ester Bulaya kutolewa nje ya ukumbi wa Bunge kwa kile alichodai kutoheshimu kiti cha Spika.Naibu Spika ametoa maamuzi hayo jioni ya leo Mei 9, 2018 katika mjadala...
Msanii wa vichekesho bongo Ebitoke, ameweka wazi kuwa ahadi aliyomuahidi kumpa Ben Pol alishaitekeleza hivyo watu wasijiulize sana.Akiongea na EATV, Ebitoke amesema kuwa licha ya kwamba hivi sasa hayuko tena kwenye mahusiano na Ben Pol, lakini yeye ndiye alikuwa...
Download : RudeBoy – IFAi : New Video
Stream Video Via Youtube
DOWNLOAD
Tiba ya kutibu upara imepatika. Dawa ya tiba hiyo ilikuwa hapo awali ikitumika kutibu mifupa.Je ukosefu wa nywele kichwani humfanya mtu kutojiamini? Tuwasiliane kwenye facebook bbcswahili.com
Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako
Mlinda mlango wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Mwadini Ally amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa timu hiyo mwezi Machi baada ya kupata kura nyingi zaidi alizopigiwa na mashabiki wa timu hiyo.Mwadini ametwaa tuzo hiyo baada...
Baada ya wachezaji baadhi wa Yanga kutoonekana dimbani kwa muda mrefu, uongozi wa Yanga umesema unahofia kuvunja nao mikataba kwa hofu ya kupata hasara.Donald Ngoma na Amis Tambwe ni miongoni mwa wachezaji walioshindwa kuichezea timu hiyo kwa muda mrefu...