SIKU chache baada ya kusambaa mitandaoni kwa picha zake zikimuonesha akiwa na gari jeusi la mamilioni aina ya Mercedes Benz E-Class E320 CDI, msanii wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’, amefungukia ndoa yake ijayo na gari hilo kuwa amelinunua...
Mapema asubuhi ya leo katika Machinjio ya Tegeta lilikamatwa lori lililopakia ng’ombe waliokufa wakiwa tayari kuingizwa sokoni.Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, ACP Jumanne Muliro amesema kuwa kufariki kwa mifugo ni tukio la kawaida...
Klabu ya Yanga bado ipo kwenye kipindi kigumu katika mapambano ya Ligi kuu vodacom Tanzania Bara kwani leo tena imeambulia kipigo cha goli 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar.Kipigo hicho ni cha tatu mfululizo kwa klabu hiyo baada ya kuadabishwa...
Video ya wimbo wa ‘Mvumo wa Radi’ ya Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba imeelezwa kuwa imefanyiwa figisu figisu hususani kwenye suala la Watazamaji (Views) kwa kile kilichoelezwa kuwa hawaongezeki toka itoke video hiyo siku ya Ijumaa.Alikiba amesema amepokea malalamiko...
Kocha msaidizi wa Jose Mourinho na Manchester United "Rui Faria" ataiacha klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.
Mreno huyo,ambaye amekuwa msaidizi wa Mourinho katika kazi yake ya usimamizi,huenda akachukua matazamio ya kuwa kocha Mkuu kwa mara ya kwanza,yeye kama yeye.
Hii ni nyingine ya kuifahamu kutoka kwa staa maarufu Marekani Rihanna ambapo inaripotiwa kuwa siku ya May 11,2018 alivamiwa katika nyumba yake iliyopo Holly Wood Hills na kijana aliyefahamika kwa jina la Eduardo Leon.Mashuhuda waliwaambia polisi waliofika nyumbani kwa...
Mwanaume mmoja, raia wa India ambaye anafanya biashara ya mboga za majani ameripotiwa kujiua jana May 10, 2018 baada ya kupokea bili ya umeme ya gharama ya Dola za Marekani 13,000 sawa na Shilingi za Kitanzania milioni 31.2.Mwanaume huyo...
Leo May 12, 2018 Luciana Olutu alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo cha Makumira Arusha na amefariki dunia May 7 mwaka huu baada yakujinyonga kwa kile kinachodaiwa ni msongo wa mawazo baada ya mtoto wake kufariki.Wanafunzi ambao...
Jana ilikuwa siku maalumu kwa ajili ya mahojiano ya Kiba pale mawingu (Clouds) media, wenyewe wanakwambia ALIKIBA DAY. Baadhi ya maswali aliyoulizwa ni jinsi alivosalimiana na hasimu wake mkubwa Diamond Platnumz kwa kumgeuzia kiganja cha mkono, hakusita kusema kila...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM), amepewa tuzo ya heshima na klabu ya soka ya Coastal Union ya jijini Tanga.Coastal Union wametoa...