Taarifa za muigizaji maarufu nchini Elizabeth Michael”Lulu” kuachiwa huru siku ya leo May 14,2018 zimewafurahisha wengi baada ya kubadilishiwa adhabu na kumalizia adhabu yake nje ya gereza.Mchekeshaji Steve Nyerere ambaye pia ni msemaji mkuu katika kitengo cha waigizaji (Bongo...
Jeshi la Magereza limeeleza kuwa muigizaji Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu ameachiliwa Mei 12, 2018 kwa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania kuenda kutumikia kifungo chake nje ya gereza 'community service'Hayo yamebainishwa na taarifa zilizotolewa na Kitengo...
Rais wa Jamnhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Siza Donald Tumbo kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Utawala ya Chuo cha Ufundi Arusha (Arusha Technical College).Taarifa hiyo iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Gerson...
Baada ya nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta usiku wa May 10 2018 kufunga goli lake la kwanza dhidi ya KAA Gent akiwa na KRC Genk toka...
Leo May 14, 2018 Taarifa iliyotufikia muda huu ni kumhusu Muigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael marufu Lulu,amebadilishiwa adhabu kwa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania na sasa atatumikia kifungo cha nje.Lulu alihukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani baada...
Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20, imekubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa timu ya vijana ya Mali kwenye mchezo uliomalizika jioni kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.Ngorongoro imejiweka kwenye mazingira magumu ya kufuzu...
Na Bashiri Salum, DodomaSerikali imeagiza sukari kiasi cha tani 70,354.35 kutoka nchi za nje lengo likiwa ni kujipanga ili kuhakikisha kuwa hapatokei upungufu wa bidhaa hiyo hapa nchini.Akizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni waziri wa kilimo Mhe. Dkt....
Mkazi wa wilayani Igunga, mkoani Tabora ameuawa na fisi na mwingine kujeruhiwa baada ya kushambuliwa na mnyama huyo katika Kata ya Ziba, wakati wakirejea nyumbani kutoka kwenye klabu ya pombe.Azizi Kombe, Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Ziba, alimtaja aliyeuawa...
Mrembo Hamisa Mobetto amehojiwa na Wasafi TV kuhusu kauli ya Wema Sepetu ya Kubariki Diamond Kumuoa na amefunguka hivi"Ni Kitu ambacho kutoka kwa Dada Wema is not a suprise coz unajua nini Dada Wema ana roho safi hawezi kusema...
DAR ES SALAAM: Kwa mara ya kwanza, staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ametoa baraka zake kwa aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amuoe Video Queen Hamisa Mobeto endapo watafikia uamuzi huo.Kabla ya kufunguka hayo, Wema na...