DAR ES SALAAM: Mambo ni hivi! Achana na staa wa Bongo Fleva, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’ kuburuzwa mahakamani kwa kushindwa kutoa matunzo ya mtoto, mwimbaji wa Injili, Emmanuel Mbasha naye amekutwa na skendo kama hiyo baada ya kudaiwa kumtelekeza...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia  kondakta wa kampuni  moja ya mabasi yanayofanya safari kati ya Dar es Salaam na Mbeya,baada ya kumkuta na vipodozi vilivyopigwa marufuku.Mtuhumiwa huyo mkazi wa Kitunda jijini Dar es Salaam alikutwa akiwa amehifadhi...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa siku 14 kwa upande wa mashtaka kuhakikisha wanakamilisha kuchapa maelezo ya washtakiwa wa kesi ya kumiliki mali zisizoendana na kipato, inayomkabili mhasibu mkuu wa Taasisi na Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Godfrey...
Msanii wa muziki nchini Alikiba amewataka watanzani pamoja na wasanii kujivunia kutumia lugha ya Kiswahili kwasababu ni lugha kubwa na watu wengi Duniani  hutamani kujifunza lugha ya Kiswahili.Alikiba amesema hayo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari na amedai kuwa...
Msimu wa EPL 2017/2018 unakwisha rasmi Jumapili ya jana, na mabingwa wameshapatikana ni Manchestwe City huku pia timu zinazoshuka daraja zimeshajulikana ni Stoke City, Swansea na West Bromich Albion.Kushinda kwa Manchester City kunamaanisha watapewa £153.2m kutoka PL, pesa hizi...
Katika ukurasa wa instagram wa tttrautouprades , wabunifu na waongeza vionjo vya shape za magari makali wameonyesha ndinga jipya la Diamond Platnumz.
JESHI la Magereza limemwachia msanii Elizabeth Kimemeta Michael, maarufu 'Lulu' aliyekuwa anatumikia kifungo cha miaka miwili katika gereza la Segerea jijini Dar es Salaam, ili atumikie adhabu yake akiwa nje.Akiwa nje, Lulu (22) amepangiwa kufanya kazi za huduma ya...
MSANII wa Bongo Fleva kutoka WCB Wasafi, Rayvanny bila kinyongo ameonyesha kupenda kazi anayoifanya Alikiba ambaye ni hasimu wa Diamond Platinumz kwa miaka mingi.Akifanya mahojiano na Global TV Online, rayvanny amewataja wasanii wanaofanya vizuri kwa sasa nchini Tanzania hasa...
Siku mbili tangu alipoachiwa muigizaji Elizabeth Michael ’Lulu’, mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema ameumia na tangu alipopata taarifa hizo hajalala.Mama Kanumba amesema, tangu alipopata tetesi za msanii huyo ametoka jela, amejikuta anakosa usingizi na kuumwa presha.Ameongeza...
Mtangazaji mmoja wa Clouds Plus baada tu ya kusikia kuwa Lulu Amebadilishiwa kifungo na kutoka gerezani alimua kunyanyua simu na kumpigia mama Kanumba na kumuuliza kuhusu hilo, na Mama Kanumba akajibu hivi"Mimi sina la kusema bali ninamshukuru Mungu, na...