Uliwahi kufikiria kama unaweza ukamuona msanii kama Harmonize kwenye ngoma ya Mrisho Mpoto?
Basi wawili hao tayari wameshapika ngoma ambayo inaweza ikasikika kwenye masikio yako muda wowote.
Tena wimbo huo unaonekana kupewa jina la Mjomba kutokana na ujumbe ambao ameuandika Harmonize...
NYOTA wa Bongo Fleva Afrika Mashariki na Kati, Ally Kiba, amewataka wanawake maarufu kwenye soko la muziki na filamu Tanzania, kuitumia ipasavyo mitandao ya kijamii kwa manufaa ya maisha yao ya sasa na baadaye.Kiba, anayetamba na ngoma ya ‘Mvumo...
NYOTA wa muziki wa pop nchini Marekani, Justin Bieber, ameanza kurudi kanisani baada ya aliyekuwa mpenzi wake, Selena Gomez, kutumia ukurasa wake wa Instagram na kusema ‘hawezi kurudi nyuma’.Kauli hiyo ya Selena imekuja mara baada ya kutangaza kuwa anatarajia...
BOFYA HAPA KUSUBSCRIBE CHANELI YA MGUSO TV
Mamlaka ya Mapato (TRA), imetangaza kusudio la kupiga mnada kontena 20 za Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ikiwa atashindwa kuzilipia ushuru na kuzichukua ndani ya siku 30 kuanzia Jumatatu.Kontena hizo za Makonda ambazo zimesubiri utaratibu...
Upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, umeomba Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu kutupilia mbali mashtaka dhidi ya washtakiwa kwa kuwa yanamapungufu, kisheria.Maombi hayo yamewasilishwa jana Mei...
Rais wa Marekani Donald Trump amekiri kuwa alirejesha fedha kwa wakili wake baada ya kumlipa nyota wa filamu za ngono Stormy Daniels ili kumzuia kufichua uhusiano wao.Ofisi ya Maadili ya Serikali ya Marekani imegundua kuwa Trump huenda alifichua malipo...
Mbunge wa Mbeya kupitia CHADEMA Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu, amesema alishangazwa na kitendo cha kusikia imepigwa simu kutoka juu, na kueleza kwamba ni lazima yeye na Masonga wavae sare za jelaAkizungumzia suala hilo Sugu amesema kwamba...
Mwenyekiti wa Baraza la vijana Chadema (BAVICHA), Patrick Ole Sosopi, amesema amewahi kushawishiwa na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ili aweze kuhamia chama hicho tawala.Ole Sosopi amesema hayo leo Mei 16 akiwa studio za EATV katika kipindi cha...
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison George MwakyembeSIFA anazomwagiwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison George Mwakyembe mitaani, zinatosha kusema kuwa waziri huyo ni noma katika uchapakazi wake.Dawati la Ijumaa ambalo kila siku...