Leo May 19, 2018 Imethibitishwa kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli atashiriki katika zoezi la kupokea Kombe la Ubingwa wa CECAFA pamoja na kuwakabidhi kombe la mabingwa wa michuano ya ligi kuu soka Tanzania Bara mabingwa wapya Simba SC.
Kupitia...
Mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Sabasaba jijini Mwanza, Dotto Baraka (13) amefariki dunia baada ya kulipukiwa na betri ya simu aliyokuwa akiiunganisha na radio chakavu.Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amethibitisha tukio hilo...
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussen Bashe (CCM), amesema kwamba Bungeni kumekuwa na siasa mbaya za kuamini kila anayesema ukweli anamchukua Rais Magufulii ilihali anaisaidia serikali kuikumbusha mapungufu yake na kuyafanyia kazi ili kuboresha utendaji na kupeleka maendeleo kwa wananchi.Bashe...
BAADA ya kuvuma kwa taarifa mitandaoni kuwa mama wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’ amempa ‘vitasa’ mwanamitindo Hamisa Mobeto, Ijumaa limemtafuta bi mkubwa huyo na kufanya naye mahojiano maalum (exclusive) ambapo amefungukia sakata...
KIJANA wa Kitanzania kutoka Zanzibar mwenye umri wa miaka 24 (jina bado halijafahamikia) aliyekuwa nchini Uingereza, anadaiwa kuuawa kwa kuchomwa visu na watu wasiojuliakana jana Alhamisi Mei 17, 2018 jioni huko Barking London.Polisi jijini London wamethibitisha kutokea kwa tukio...
Faiza Ally ambaye ni muigizaji wa Bongo movie na mama watoto wa Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi 'Sugu’ amesema kuwa hayuko tayari kuolewa na mzazi mwenzake huyo bali anaweza mzalia mtoto mwingine.Faiza amefunga hayo katika mazungumzo yake na...
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya anayefanya vizuri kwa sasa na ngoma yake ya 'Mvumo wa radi', Alikiba amesema ana uwezo wa kutoa nyimbo kila siku lakini anaogopa kufirisika.Kiba amesema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East Africa...
MPANDA, KATAVI: Wachungaji watatu waliodai wana uwezo wa kufufua marehemu wamenusurika kupigwa na wananchi baada ya kushindwa kumfufua marehemu Raymond Mirambo katika kijiji cha SitalikeMwenyekiti wa kijiji, Christopher Angelo, alisema tukio hilo lilitokea Mei 7 ambapo wachungaji hao walifika...
MGULANI, DAR: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli akinywa maji ya Uhuru Peak yaliyotengenezwa na kiwanda cha SUMA JKT, jana Mei 17, katika ufunguzi wa kituo cha uwekezaji cha Suma JKT-Rais Magufuli alisema "Mimi kuanzia...
TANGA: Wasichana 29 ambao baadhi yao wamekutwa na hati feki za kusafiria wamekamatwa wakiwa wanaelekea Uarabuni kupitia nchi ya KenyaInadaiwa wasichana hao walikuwa wanaelekea katika nchi hizo za Uarabuni kuuza figo kwa gharama kubwa pamoja na kufanya kazi za...