Msanii maarufu wa muziki duniani, Beyonce amenunua jengo la kanisa kongwe mjini New Orleans nchini Marekani.
Kanisa hilo ambalo limejengwa kwa mawe miaka ya 1900’s limemgharimu Beyonce kiasi cha dola $850,000 sawa na tsh bilioni 1.9 .
Kwa mujibu wa taarifa...
Pamoja na uwekezaji mkubwa wa zaidi ya £160m lakini kipigo cha bao moja kwa nunge kutoka kwa Chelsea katika fainali ya FA hapo jana kimewafanya United kumaliza msimu wa 2017/2018 bila kombe.Pamoja na kwamba hii ni mara ya kwanza...
Kwa taarifa yako kama ulikuwa hufahamu, wakati Simba ikitwaa ubingwa bila kupoteza mchezo golikipa wa wakati huo alikuwa ni Juma Kaseja.Kaseja huyohuyo ameizuia Simba kutimiza ndoto yake ya kumaliza msimu bila kufungwa baada ya kuokoa penati ya Emanuel Okwi...
Club ya Chelsea ambayo pamoja na kupoteza nafasi ya kushiriki michuano ya UEFA Champions League msimu wa 2018/2019 leo imefanikiwa kuwafuta machozi mashabiki wake kufuatia kupata ushindi wa FA mbele ya Man United katika mchezo wa fainali ya Kombe...
Mke wa msanii wa muziki wa bongo fleva Q Chief, anayejulikana kwa jina la Eliza, amesema kwamba mume wake anahitaji msaada zaidi, kwani hayuko sawa.Eliza ameyasema hayo alipokuwa akizungumza kwenye Friday Night Live ya East Africa Television, na kusema...
Mwanamuziki wa Bongo fleva Vanessa Mdee amezidi kufanya vizuri na albamu yake ya ‘Money Mondays’ kwani albamu hiyo imetajwa kuwa ndio inaongoza Afrika Mashariki nzima.Kupitia mtandao wa Boomsplay ambao unahusika na upakuaji wa nyimbo kadhaa umeweka wazi kuwa Albamu...
Kama ni nyumba kushika moto, basi huu moto wa Madale ni wa gesi maana unaunguza hatari na mpaka sasa unaambiwa ‘faya’ hawana taarifa zozote kwani hakuna aliyepiga namba yao ya dharura 114 ili wafike eneo la tukio! Kitendo cha mama...
Mwanamama Zari the Bossy Lady ambae alibahatika kupata watoto wawili na msanii Diamon Platinumz lakini baadae wawili hao walikuja kutengana hivyo Zari kuondoka na watoto na kwenda nao afrika kusini amefunguka na kusema kuwa hata siku moja hawezi na...
Leo kwenye uwanja wa wembley tutashuhudia fainali ya FA kati ya Chelsea na mashetani wekundu "Manchester United",mchezo utakaochezwa kuanzia saa 19:15(saa 1 na robo usiku).
Msanii Bill Nass amesema tangu ilipovuja video yake ya faragha akiwa na Nandy, wamekutana mara moja tu.
Hata hivyo hilo halimaanishi kuna kitu hakipo sawa kati yao, hapana!, wao bado ni marafiki na kilichotokea ni sehemu ya kujifunza.
“Tangu niliporudi nimeonana...