#IjueSheria: Mtu yeyote ambaye hatumikii Jeshi la Ulinzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wala Jeshi lolote la Polisi lililowekwa kwa Sheria akivaa bila ruhusa ya Rais vazi rasmi la Jeshi lolote au vazi linalofanana na vazi rasmi au...
MAOFISA watatu wa Kituo cha Uwekezaji cha nchini (Tanzania Investment Center (TIC) wamefariki dunia katika ajali ya gari usiku wa kuamkia leo maeneo ya Chalinze wakiwa njiani kuelekea jijini Dodoma.Waliofariki ni Saidi Amiri Moshi (Kaimu Mkurugenzi wa Research zamani...
Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefunguka kuhusu taarifa zilizodai kuwa amepigwa na mama mzazi wa Diamond Platnumz, Sanura Kassim ‘Sandra’.Hapo jana katika uzinduzi wa kipindi cha Nyumba ya Imani cha Wasafi TV, Hamisa alipata time ya kuzungumza na waandishi wa habari...
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amehoji ni kwanini Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi, George Mkuchika akaimu nafasi ya Waziri Mkuu bungeni wakati kanuni za bunge haziruhusu.Amesema kwa mujibu wa kanuni za bunge, mwenye sifa ya kukaimu...
Vijana wa timu ya taifa chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes wametupwa pembeni ya mbio za kuwania tiketi za Fainali za U20 Afrika baada ya kuchapwa mabao 4-1 na wenyeji, Mali kwenye Uwanja wa Omnisports Modibo Keita...
BABA Mzazi wa Kiungo Mshambuliaji wa Simba Shiza Kichuya mzee Ramadhani Kichuya amemzuia mwanaye kuongeza mkataba mwingine mpya wa kuendelea kuichezea timu hiyo hadi atakapojua muafaka wake wa kwenda klabu ya TP Mazembe ya DR Congo.Mazembe ni kati ya...
Mahakama Kuu imeamuru Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu ya MOI kumlipa fidia ya Milioni 100 Emmanuel Didas aliyefanyiwa upasuaji wa kichwa badala ya mguu kutokana na madhara aliyoyapata ya kimwili na kiufahamu ikiwemo kupooza.Mahakama imetoa...
MKALI wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, na Shekhe maarufu jijini Dar, Shekhe Kipozeo, usiku wa kuamkia leo walishirikiana kuzindua kipindi kipya cha runinga kinachojulikana kwa jina la Nyumba ya Imani, ambacho kitakuwa kikirushwa kila siku ndani ya...
WATCH VIDEO