Aslay akiri kifo cha Masogange ‘kupoteza’ ngoma yake
Msanii wa muziki Bongo, Aslay amesema ngoma yake ya mwisho kutoa ‘Kwa Raha’ licha kuendelea kufanya vizuri imekumbana na misukosuko.
Muimbaji huyo amesema ngoma hiyo...
Harusi ya Kiba Yawavuruga Bilnass,Christian Bella.
Sherehe ya harusi ya msanii Ali Kiba, iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena, imewachanganya watu mbalimbali wakiwemo wasanii Bilnas na Christian Bella.MCL...
Prof Jay Apewa Ahadi Hii na Waziri.
Wizara ya Nishati kupitia Naibu Waziri wake Subira Mgalu imemuahidi Mbunge wa Mikumi Joseph Haule (Prof Jay) kwamba itapeleka umeme katika jimbo lake la...
Dalili Hizi Zinaashiria Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.
Watu wengi wamekuwa ni waoga sana wa kupata vipimo vya ugonjwa kutokana na madhara ya kisaikolojia yanayojitokeza baada ya kujua kuhusu ugonjwa, wengi huamua...
Haya Ndiyo Madhara ya Kufanya Mapenzi na Mwanamke aliyopo kwenye Hedhi.
Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana. Kuna madhara mengi...
Hizi Ndizo Dalili za Mtu mwenye Mawe katika Figo.
Figo ni kiungo muhimu katikamwili wa binadamu, hufanya kazi ya kuchuja damu huku ikiondoa sumu zote za mwili ,figo hufanya kazi ya kurekebisha kiasi...
Mbinu 18 za Kukabiliana na Ugumu wa Maisha.
Mbinu za kuyakabili maisha hazijabadilika tangu zama hizo hela ianze kushika mkondo: tafuta pesa, bana matumizi, hifadhi ziada, na wekeza kwa umakini.Ili kufanikisha hayo,...