Rais JPM Atoa Agizo Hili kwa Waziri Majaliwa.

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemwagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwashughulikia viongozi wanaowahamisha watumishi wa Umma bila kuwalipa...

Beki wa Liverpool Ajirekodi Akicheza Acha Waoane ya Daimond na Chege.

0
Ngoma ya Chege aliyomshiriksha Diamond Platnumz ‘Waache Waoane’ bado ipo kwenye headlines zake za kiburudani.Hii ni baada ya beki wa Liverpool, Dejan Lovren ku-share...

Waziri Mahiga Aomba Radhi kwa Rais Magufuli Kisa Hiki Hapa.

0
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Balozi Augustino Maiga ameomba radhi kwa Rais Magufuli kwa niaba ya watu wa Iringa kwa kukosa...

Samatta Awaonya Serengeti Boys ” Tulizeni Vichwa Madogo Tusije Kusikia Mmeanza...

0
Nahodha wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars Mbwana Ally Samatta amewapongeza vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys kwa kutwaa...

Maelfu Waandamana ili Rais Ajiuzulu.

0
Maelfu ya raia wa Malawi mwishoni mwa wiki wameandamana kuipinga serikali katika maandamano ya kwanza tangu mwaka 2011.Maandamo hayo yaliyoandaliwa na mashirika ya kiraia...

Mambo Ambayo Wanaume Wanakosea Wakati wa Kutongoza Mwanamke.

0
1.PAPARAwanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba...

Amuuwa Mpenzi wake kwa Kumnyonga shingo,Mwanza.

0
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia kijana aliyefahamika kwa jina la Nicholas Light (25) mkazi wa Mtaa wa Mahama Ilemela kwa kunyonga mpenzi...

Chid Benz azikana taarifa za kuokoka, ‘Nilialikwa kama mgeni rasmi’.

0
Msanii wa muziki Bongo, Chid Benz amefunguka ukweli wa taarifa zilizodai kuwa ameamua kuokoka.Taarifa hizo zimeibuka mara baada ya kuoneka katika moja ya makanisa,...

Makanisa yanayotoa huduma za maombi usiku yapigwa marufuku.

0
Makanisa ambayo yanatoa huduma ya maombi nyakati za usiku yamepigwa marufuku na serikali nchini Kenya kufanya hivyo. Serikali katika Kaunti ya Narok imesema kuwa maombi...