Mwameja ataja sababu iliyowaangusha Yanga.

0
Mlinda mlango wa zamani wa Simba, Mohamed Mwameja, ameeleza furaha yake kutokana na timu yake kuibuka na ushindi dhidi ya watani zao wa jadi,...

Julio: Simba hawakustahili kupata ushindi huo kiduchu.

0
Kocha Msaidizi wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo 'Julio' amesema kuwa jana Simba walikuwa kwenye kiwango bora sababu walikuwa wanajitambua.Akizungumzia mchezo huo, Julio ameeleza...

BREAKING NEWS: Mahakama yaamuru Hans Poppe wa Simba SC akamatwe.

0
Leo April 30, 2018 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa amri kwamba mwenyekiti wa usajili wa Simba SC, Zacharia Hans Poppe na Franklin Lauwo...

Sir Alex Ferguson ampa Wenger zawadi maalum.

0
KOCHA wa zamani wa Klabu ya Manchester United, Sir Alex Ferguson jana alimuaga Kocha wa Arsenal, Mzee Arsene Wenger kwa kumpa zawadi maalum kabla...

Manara afunguka kipigo walichokipata Yanga jana ni cha heshima.

0
Afisa Habari wa vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC, Haji Manara amefunguka na kudai kipigo walichokipata Yanga jana Aprili 29, 2018 cha...

Firmino aongeza mkataba mpya Liverpool.

0
Mchezaji wa Liverpool Roberto Firmino ameongeza mkataba mpya wa kuendelea kuichezea klabu hiyo kwa misimu mingine zaidi.Firmino ameasaini mkataba huo ambao utamfanya aweze kulipwa...

Ali Kiba azindua kinywaji chake MOFAYA.

0
Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba ametumia sherehe ya harusi yake kuzindua rasmi kinywaji chake kinachofahamika kwa jina la Mofaya katika ukumbi wa Hoteli ya...

Wema atoa kali,siku ya mazishi yake.

0
HII ni kali! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya staa wa filamu Bongo, Wema Isac Sepetu, kutoa kali ya aina yake kwa kueleza namna mazishi...

Serengeti Boys Watwaa Taji la CECAFA 2018.

0
BUJUMBURA, BURUNDI: Timu vijana wa Tanzania chini ya miaka 17(Serengeti Boys) wametwaa taji la CECAFA la chini ya miaka 17 kwa mwaka 2018 baada...