Nilimfumania Mwanamke Wangu na Jamaa Mwingine Kitandani,Nikamsamehe..Baada ya Mwezi Ananiambia Ana...
Nilimfumania mwanamke wangu na jamaa mwingine chumbani kwetu kitandani kwetu. Nilimwacha kwa muda lakini alirudi na kuniomba msamaha tukarudiana. Ila sasa ananiambia ni mjamzito...
Jini Mahaba Linavyonitesa Linaniingilia Mpaka Kinyume na Maumbile..Msaada.
Hi ni history ya kweli ya maisha yangu naomba mnishauri wadau.Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 29 ni mkristu na ni mzaliwa wa...
‘Hii ilikuwa Mara ya Kwanza Kumuibia’-Kijana Aliyenasiwa na Mzigo wa Wizi...
Kijana Frank Joseph mwenye umri wa miaka 23 ambaye anaishi Dar es Salaam, Mbezi Mwisho amefunguka na kusema kuwa ni kweli aliiba mzigo huo...
Mwambie Diamond apatane kwanza na Baba yake ndio arudi kwako,Diamond ni...
Mdau Kaamua Kufunguka:Alikiba mimi kama shabiki yako naomba usimamie msimamo wako uleule usikubali kuyumbishwa na mtu mnafki kama Diamond, ambaye amekuwa akikupiga vijembe mara...
Mke wa P Funk Aapa Kupambana na Kajala Anayetaka Kuvunja Ndoa...
MKE WA prodyuza maarufu Bongo, Paul Matthysse ‘P Funk’, Samira amefunguka kuwa licha ya kukutana na mitihani mingi ndani ya ndoa yake lakini kamwe...
Taharuki Mbeya.. Jeneza lakutwa halina mwili.
Wakazi wa eneo LA Iwambi lililopo Jijini Mbeya wamekumbwa na Taharuki baada ya jeneza kukutwa eneo la makaburi ya Iwambi Hulu likiwa halina mwili...
Staili ya Ushangiliaji ya Haji Manara ya Ushangiliaji Yamtokea Puani Apewa...
Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya watani wake Yanga mwishoni mwa wiki.Furaha hiyo ilimfanya msemaji wao kuingia uwanjani kumalizia shangwe...
Mwizi Ajisalimisha Polisi Baada ya Mzigo Alioiba Kumnasa.
KIJANA Frank Japhet (23), mkazi wa Mbezi, Dar es Salaam, amelazimika kujisalimisha katika Kituo cha Polisi Mlandizi, Kibaha, Pwani, baada ya mzigo wa mahindi...
Bodi ya Ligi Yamsimamisha Kelvin Yondani Kuchezea Yanga.
Bodi ya Ligi Tanzania, imetangaza kumsimamisha beki wa Yanga, Kelvin Yondani kutokana na kuonekana katika video akimtemea mate beki, Asante Kwasi.Mtendani wa Bodi ya...