Rais Magufuli Awajibu Wanaokosoa Mpango wa Walimu wa Sekondari Kupelekwa Shule...

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewajibu watanzania ambao wanakosoa mpango wa serikali wa kuwapeleka walimu wa sekondari...

Kwani Kusoma ni Kujua Kiingereza? – Rais Magufuli ahoji.

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli amehoji wanafunzi wa chuo cha Mkwawa iwapo  kujua kusoma ni kujua Kiingereza.Rais Magufuli ameyasema...

Mabosi wa Kampuni Iliyokuwa na Mkataba na Mzee Majuto Waswekwa Rumande.

0
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kuwa kuna Kampuni iko Mwanza iliingia Mkataba na King Majuto na Mkataba huo...

Msanii Majuto Kuomba Msaada ni Udhalilishaji–Mlela Afunguka.

0
Muigizaji wa filamu Bongo Yusuph Mlela, amesema kitendo cha Mzee Majuto kuomba msaada kwa watu mbali mbali ili aweze kwenda kupata matibabu,ni udhalilishaji mkubwa.Mlela...

Wema Sepetu Abadili Gia Wasafi TV,Atupilia Mbali Kipindi Chake.

0
Baada ya Mrembo Wema Sepetu kuweka wazi anakuja na TV Show yake ndani ya Wasafi TV, amefunguka nini hasa kinaendelea kwa sasa.Kipya cha kufahamu...

Bill Nass Afunguka Kuhusu Picha Zake Zinazosambaa Mtandaoni.

0
Rapa Billnass ambaye anatamba na ngoma ya 'Tagi Ubavu' amefunguka na kudai kipindi hiki kigumu anachokipitia kwa watu kuweka picha zake mitandaoni zikiwa zinamzungumzia...

Baraka Da Prince Amtandika Mimba Mchepuko Wake na Kuikataa.

0
Mwanamuziki wa Bongo fleva Barakah The Prince amekumbwa na skendo nzito ya kumpachika mimba mwanamke mwingine ambaye ni mchepuko wake na sasa anadaiwa kuikataa...

Liverpool Yatinga Fainali Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya.

0
Liverpool wamefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya dhidi ya AS Roma ya Italy.Liverpool imetinga hatua hiyo baada ya kukubali...

Wema Apata Dili Nono Kombe la Dunia Star Times Yampa Balozi.

0
Msanii wa filamu Tanzania, Wema Sepetu, akizungumza jambo kwa niaba ya wasanii wenzake  mara baada ya kutambulishwa rasmi kuwa mabalozi wa StarTimes.Mkurugenzi wa StarMedia...

Bill Nass na Nandy Waungana Tena.

0
Wiki Kadhaa baada ya Video yao ya uchi kusambaa mitandaoni, Bill Nass amefunguka kuwa tayari kuna kuna ngoma ameshafanya na Nandy muda ukifika wataachia.Hit...