Yanga Yaondoka Kwenda Algeria Saba Wagomea Safari.
KIKOSI cha Yanga kimeondoka kwenda nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wapinzani wao, USM Alger...
Sijawahi ku-Date na Star Yoyote Hapa Bongo, Watu Hawatumii Akili–Ommy Dimpoz.
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz amesema kuwa hajawahi kutoka kimapenzi na mwanamke yeyote maarufu nchini Tanzania na matukio yote ambayo yalikuwa...
Jenifa Mgendi Apewa Dili Nono Serikalini.
Mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini ambaye pia ni muigizaji nwa filamu Jenifer Mgendi, ameteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya filamu nchini.Taarifa hiyo imetolewa...
Diwani na Msanii Baba Levo Apandishwa Kizimbani Kwa Kutoa Kichapo Kwa...
Msanii wa Bongo Fleva Levocatus Chipando maarufu kwa jina la Baba Levo ambaye ni Diwani wa Kata ya Mwanaga Kaskazini katika Manispaa ya Kigoma...
Qeen Darleen Ampa Ujumbe Mzito Harmonize “Punguza Uhuni Unamtesa Mzungu wa...
First Lady kutoka Label ya WCB, Queen Darleen ametoa ushauri mzito kwa Harmonize kuhusu maisha yake ya kimuziki na mahusiano.Muimbaji huyo amemshari Harmonize kutokata...
Mambo ni Hivi Mke wa P Funk Agoma Kumuachia Nyumba Kajala...
Mke wa Prodyuza maarufu na mkongwe kwenye mziki wa Bongo fleva P Funk majani, Samira ameibuka na kudai atapambana na Kajala na kamwe hatamuachia...
Mkutano Mkuu wa Dharura Waitishwa Simba Mo Dewji Kukabidhiwa Timu?.
Baada ya Simba kufanya mkutano wa kubariki mabadiliko ya mfumo Desemba 11, 2016 na wanachama kukubali, Desemba 3, 2017 pia wanachama kwa pamoja walimpitisha...
Kisa Harusi Bongo Movie Wamtolea Uvivu Alikiba.
Siku chache baada ya mkali wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘AliKiba’ kuangusha bonge la sherehe ya harusi katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena...
Nandy “Nimekataa Kuuza Nguo za ndani Baada ya Makampuni Mengi Kunifuata”
Mwimbaji staa wa Bongofleva Nandy ambae juzi kati alikaa kwenye headlines na ishu ya kusambaa kwa video yake ya chumbani na Billnass, ameongea kwa...
Sina Hamu na Mwanamke Yoyote Hata Awe Mzuri Kiasi Gani.
Najisikia sihitaji mwanamke yeyote yule hata akiwa mzuri kiaisi gani. Sina hamu naye na wala siwezi kumfanya chochote. Naogopa kusema i hate you women...