Skendo ya Kumtelekeza Mtoto, Mbasha Yamkuta ya Ali Kiba.

0
DAR ES SALAAM: Mambo ni hivi! Achana na staa wa Bongo Fleva, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’ kuburuzwa mahakamani kwa kushindwa kutoa matunzo ya mtoto,...

Kondakta Atiwa mbaroni kwa kukutwa na vipodozi vilivyopigwa marufuku.

0
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia  kondakta wa kampuni  moja ya mabasi yanayofanya safari kati ya Dar es Salaam na Mbeya,baada ya kumkuta...

Mahakama Yaibana Serikali kesi ya mhasibu Takukuru.

0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa siku 14 kwa upande wa mashtaka kuhakikisha wanakamilisha kuchapa maelezo ya washtakiwa wa kesi ya kumiliki mali zisizoendana...

Ali Kiba ‘Mimi ni Mswahili Hasa’

0
Msanii wa muziki nchini Alikiba amewataka watanzani pamoja na wasanii kujivunia kutumia lugha ya Kiswahili kwasababu ni lugha kubwa na watu wengi Duniani  hutamani...

City Wamebeba Ubingwa Lakini United Watapewa Pesa Nyingi Kuliko Wao,Sababu ni...

0
Msimu wa EPL 2017/2018 unakwisha rasmi Jumapili ya jana, na mabingwa wameshapatikana ni Manchestwe City huku pia timu zinazoshuka daraja zimeshajulikana ni Stoke City,...

Hii hapa Ndinga mpya ya Diamond Platnumz Toyota Land Cruiser 200...

0
Katika ukurasa wa instagram wa tttrautouprades , wabunifu na waongeza vionjo vya shape za magari makali wameonyesha ndinga jipya la Diamond Platnumz.

Lulu Michael Kufanya Usafi Wizara ya Mambo Ndani.

0
JESHI la Magereza limemwachia msanii Elizabeth Kimemeta Michael, maarufu 'Lulu' aliyekuwa anatumikia kifungo cha miaka miwili katika gereza la Segerea jijini Dar es Salaam,...

Rayvanny Ampigia Salute Ali Kiba,Amtaja Katika Wasanii Wanaofanya Vizuri.

0
MSANII wa Bongo Fleva kutoka WCB Wasafi, Rayvanny bila kinyongo ameonyesha kupenda kazi anayoifanya Alikiba ambaye ni hasimu wa Diamond Platinumz kwa miaka mingi.Akifanya...

Mama Kanumba Tena “Nimeumia Sana Lulu Kutoka Gerezani, Presha Imepanda na...

0
Siku mbili tangu alipoachiwa muigizaji Elizabeth Michael ’Lulu’, mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema ameumia na tangu alipopata taarifa hizo hajalala.Mama Kanumba...

Kauli ya Mama Kanumba Baada ya Kusikia Lulu Michael Ametolewa Gerezani.

0
Mtangazaji mmoja wa Clouds Plus baada tu ya kusikia kuwa Lulu Amebadilishiwa kifungo na kutoka gerezani alimua kunyanyua simu na kumpigia mama Kanumba na...