Mrisho Mpoto Ft Harmonize | Mpoto amuweka Harmonize kwenye ngoma yake...
Uliwahi kufikiria kama unaweza ukamuona msanii kama Harmonize kwenye ngoma ya Mrisho Mpoto?
Basi wawili hao tayari wameshapika ngoma ambayo inaweza ikasikika kwenye masikio yako...
Ali Kiba Awachana Mastaa wa Kike Bongo.
NYOTA wa Bongo Fleva Afrika Mashariki na Kati, Ally Kiba, amewataka wanawake maarufu kwenye soko la muziki na filamu Tanzania, kuitumia ipasavyo mitandao ya...
Mwanamuziki Justin Bieber Amrudia Mungu.
NYOTA wa muziki wa pop nchini Marekani, Justin Bieber, ameanza kurudi kanisani baada ya aliyekuwa mpenzi wake, Selena Gomez, kutumia ukurasa wake wa Instagram...
TRA Yatishia Kuuza Makontena 20 ya Paul Makonda.
Mamlaka ya Mapato (TRA), imetangaza kusudio la kupiga mnada kontena 20 za Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ikiwa atashindwa kuzilipia...
Kibatala Aiomba Mahakama Ifute Mashtaka Kesi ya Mbowe na Wenzake.
Upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, umeomba Mahakama ya hakimu Mkazi...
Trump Afichua Mchepuko Wake.
Rais wa Marekani Donald Trump amekiri kuwa alirejesha fedha kwa wakili wake baada ya kumlipa nyota wa filamu za ngono Stormy Daniels ili kumzuia...
Alicholazimishwa Sugu kufanya akiwa gerezani.
Mbunge wa Mbeya kupitia CHADEMA Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu, amesema alishangazwa na kitendo cha kusikia imepigwa simu kutoka juu, na kueleza...
Nimeshawishiwa Kuhamia CCM- Mwenyekiti wa BAVICHA.
Mwenyekiti wa Baraza la vijana Chadema (BAVICHA), Patrick Ole Sosopi, amesema amewahi kushawishiwa na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ili aweze kuhamia chama...
Mwakyembe Noma, Afukua Utajiri wa Marehemu Kanumba.
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison George MwakyembeSIFA anazomwagiwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison George Mwakyembe mitaani,...