TAARIFA KUTOKA IKULU JUU YA RAIS MAGUFULI NA MECHI YA SIMBA...
Leo May 19, 2018 Imethibitishwa kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli atashiriki katika zoezi la kupokea Kombe la Ubingwa wa CECAFA pamoja na kuwakabidhi...
Maskini, Mwanafunzi Afariki kwa Mlipuko wa Simu ya Mkononi.
Mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Sabasaba jijini Mwanza, Dotto Baraka (13) amefariki dunia baada ya kulipukiwa na betri ya simu...
Bashe “Ukisema Ukweli Unaambiwa Unamchukia Magufuli.
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussen Bashe (CCM), amesema kwamba Bungeni kumekuwa na siasa mbaya za kuamini kila anayesema ukweli anamchukua Rais Magufulii ilihali anaisaidia...
Mama Diamond Afunguka Kumshushia Kipigo cha Nguvu Hamisa Mobetto…Kisa Kizima Hichi...
BAADA ya kuvuma kwa taarifa mitandaoni kuwa mama wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’ amempa ‘vitasa’ mwanamitindo Hamisa...
Kijana Mwingine wa Kitanzania Auawa Nchini London Kwa Visu.
KIJANA wa Kitanzania kutoka Zanzibar mwenye umri wa miaka 24 (jina bado halijafahamikia) aliyekuwa nchini Uingereza, anadaiwa kuuawa kwa kuchomwa visu na watu wasiojuliakana...
Sugu Mzuri, Niko Tayari Kumpa Tena- Faiza Ally
Faiza Ally ambaye ni muigizaji wa Bongo movie na mama watoto wa Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi 'Sugu’ amesema kuwa hayuko tayari kuolewa...
“Naogopa Kufilisika Ndio Maana Sitoi Nyimbo Mara Kwa Mara” – Alikiba
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya anayefanya vizuri kwa sasa na ngoma yake ya 'Mvumo wa radi', Alikiba amesema ana uwezo wa kutoa nyimbo...
Wachungaji Watatu Waliodai Wana Uwezo wa Kufufua Maiti Wanusurika Kichapo.
MPANDA, KATAVI: Wachungaji watatu waliodai wana uwezo wa kufufua marehemu wamenusurika kupigwa na wananchi baada ya kushindwa kumfufua marehemu Raymond Mirambo katika kijiji cha...
JPM “Ningekuwa na Uwezo Ofisi zote za Serikali Wangekunywa Maji ya...
MGULANI, DAR: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli akinywa maji ya Uhuru Peak yaliyotengenezwa na kiwanda cha SUMA JKT, jana...
Wasichana 29 Tanga Wakamatwa Wakielekea Uarabuni Kuuza Figo.
TANGA: Wasichana 29 ambao baadhi yao wamekutwa na hati feki za kusafiria wamekamatwa wakiwa wanaelekea Uarabuni kupitia nchi ya KenyaInadaiwa wasichana hao walikuwa wanaelekea...