Dk Tulia Amzuia Waziri Mkuu Kujibu Swali Waraka wa KKKT
Naibu Spika, Dk Tulia Ackson amemkingia kifua Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kujibu swali kuhusu Serikali kulipa siku 10 Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania...
Polisi Waanza Uchunguzi Matapeli wa Meseji za Simu
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kupitia kitengo cha upelelezi wa makosa ya mtandaoni, (Cybercrime investigation unit) kimesema kuwa kinafanya uchunguzi...
Walichoandika Wolper, Snura na Prof. Jay Kuhusu Kifo cha Sam wa...
Usiku wa June 6, 2018 Muimbaji Sam wa Ukweli amefariki dunia baada ya kuugua na mwili wake kupelekwa katika hospital ya Mwananyamala huku Producer...
Aliyejitosa kwa Zari Afunguka ‘Tunajua Huwezi Kurudiana na Diamond’
Msanii wa muziki wa Injili kutoka nchini Kenya, Ringtone Apoko ameonyesha kuchukizwa na tetesi za Zari kurudiana na Diamond.Utakumbuka hivi karibuni Ringtone alieleza hisia...
Rais Magufuli Amteua Athumani Mbuttuka Kuwa Msajili wa Hazina
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Athumani Selemani Mbuttuka kuwa wa Msajili wa Hazina.Taarifa hiyo iliyotolewa...
Boyfrend Wangu Kanikataza Kumzungumzia Bill Nass- Nandy
Msanii wa muziki Bongo, Nandy amedai kuwa amekatazwa na Boyfriend wake kuzungumzia kile kilichotokea kati yake na Bill Nass.Muimbaji huyo ameiambia U-Head, Clouds FM...
Wastara Akosolewa Kujianika Adharani Kipindi Hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
MREMBO mkongwe wa Bongo Movies, Wastara Juma, amekosolewa kwa kitendo chake cha kujianika mitandaoni akiwa ameshikilia tasbii anaswali.Licha ya kuweka picha hiyo kwa nia...