TANZIA: Mwanamuziki Sam wa Ukweli afariki dunia, Mtu wake wa Karibu...
Msanii wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Juni 7, 2018 baada ya kuugua na mwili wake kupelekwa katika...
Simba Ipo Vizuri Sasa Kuja na Tuzo Zake Maalum Mo Dewji...
Mfanyabiashara maarufu Tanzania ambaye pia ni muwekezaji kwenye klabu ya Simba, leo ametangaza rasmi kuwa ameanzisha tuzo maalumu kwa klabu hiyo.Tuzo hizo ambazo amezipa...
Exclusive: Diamond Ndani ya Mjengo na Wanae Ndani ya South Afrika
Wasafi TV kupitia instagram account yao wamepost picha ya kwanza ikumuonesha Diamond Platinumz akiwa South Africa na wanae. Bila shaka hii ni habari njema...
Akutana na Mwanaye Miaka 30 Baada ya Kuitoa Mimba
Akiwa na miaka 14, Melissa Ohden was 14 aliijuwa siri kubwa - mamake alijaribu kumuua akiwa angali tumboni.Aliokolewa na mhudumu wa afya aliyemsikia akilia...
Askofu Afunguka Kuhusu Kifo cha Mapacha Maria na Consolata
Askofu Jimbo Katoliki Njombe, Alfred Maluma amesema vifo vya pacha walioungana, Maria na Consolata Mwakikuti kinapaswa kuenziwa na Watanzania kukumbushana wajibu wao kwa watu...
Rais wa TFF Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Mchezaji...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF Ndugu Wallace Karia ametuma salamu za rambirambi kwa aliyekuwa mchezaji wa zamani wa timu ya...
Watanzania Washauliwa Kukatia Bima Nyumba Zao
WATANZANIA wametakiwa kuzikatia bima nyumba zao ili wanufaike na fidia pindi nyumba hizo zikipatwa na majanga ya aina mbalimbali kama vile kuungua, kuharibiwa na...
“UDF ni zaidi ya vyama vya siasa” – Zitto
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe Akizungumzia ushirikiano huo wa kidemokrasia (DeFront), Zitto anasema hilo ni vuguvugu litakalohusisha si vyama vya siasa tu,...
BAVICHA waitaka serikali kujifunza kupitia Mapacha
Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), limeitaka serikali kujifunza kupitia kifo cha mapacha walioungana, Maria na Consolata ambao wamefariki Jumamosi...
Kisa Mume,Mwanamke Ajifungulia Polisi
Mwanamke mmoja Amina Rafael Mbunda (26) mkazi wa Kiswanya,kijiji cha Mgudeni,kata ya mwaya,Tarafa ya Mang'ula wilayani kilombero mkoani Morogoro,anadaiwa kujifungua nje ya kituo cha...