Nilaumuni kwa ‘Bao la Mkono’ Sio kwa Hili la Jamii Forums...
Mbunge Mtama, Nape Nnauye amejikutaka akijibu hoja mbali mbali mtandaoni kufuatia mtandao wa Jamii Forums kusitisha kutoa huduma.Utakumbuka Jamii Forums wamefikia hatua hiyo kutokana...
Sakata la TCRA Kusitisha Oniline Media Latua Bungeni…… Saed Kubenea Awasha...
Sakata la Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) kutekeleza kanuni za maudhui, limewasilishwa bungeni na mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea akitaka maelezo...
Sakata la Kuvuja kwa Video ya Faragha Haikuniachanisha na Nandy- Bill...
Msanii Bill Nass amesema stakata la kuvuja kwa video ya faragha kati yake Nandy haukumuachanisha na mpenzi wake.Rapper huyo amesema kwa kipindi hicho mpenzi...
Kubenea Awapigania Wanaume Wenye Wake Zaidi ya Mmoja
Serikali inaangalia namna ya kuhakikisha wanaume wenye wake zaidi ya mmoja wanaingiza wenzi wao hao kwenye huduma ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya...
A-Z Kuhusu Ajali Iliyoua Wanafunzi wa UDSM
Katibu Mteule wa Serikali ya Wanafunzi kitivo cha Sayansi ya Jamii katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Hussein Amri Aman, amekanusha taarifa zinazosambaa...
Daimond Kumbe Shabiki Mkubwa wa Timu ya Simba? “Siwezi Kujiita Simba...
Baada ya kuficha kwa muda mrefu kuhusu timu anayoshabikia hapa Bongo, Dimond Platnumz ameamua kuweka wazi.Akiongea na Wasafi TV usiku wa jana kwenye ugawaji...
Polisi Yakanusha Kuhusu Taarifa za Muuguzi Kuuliwa na Askari
Yakiwa yamepita masaa machache tokea zilipovuma tetesi za mauji ya muuguzi mmoja mkoani Mwanza dhidi ya askari Polisi mkoani humo, Jeshi la Polisi limefunguka...
Nipo Bize na Maandalizi ya Kumpokea Wifi Yangu Zari- Esma
DADA wa staa wa Afro- Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnamuz’, Esma Khan ‘Esma Platnumz’ amefunguka kuwa, mwezi huu wote yupo bize kumsubiri mzazi mwenza...