Mlinda mlango wa zamani wa Simba, Mohamed Mwameja, ameeleza furaha yake kutokana na timu yake kuibuka na ushindi dhidi ya watani zao wa jadi, Yanga.Mwameja aliyewahi kung'ara na kikosi hicho cha wekundu wa Msimbazi miaka ya nyuma na kujiwekea...
Kocha Msaidizi wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo 'Julio' amesema kuwa jana Simba walikuwa kwenye kiwango bora sababu walikuwa wanajitambua.Akizungumzia mchezo huo, Julio ameeleza kuwa Simba hawakustahili kupata ushindi huo kiduchu bali wangeweza kufunga kufunga hata bao tano.Kocha huyo...
Leo April 30, 2018 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa amri kwamba mwenyekiti wa usajili wa Simba SC, Zacharia Hans Poppe na Franklin Lauwo wakamatwe na wafikishwe mahakamani kuunganishwa katika kesi inayomkabili Rais wa Klabu hiyo, Evans Aveva na...
KOCHA wa zamani wa Klabu ya Manchester United, Sir Alex Ferguson jana alimuaga Kocha wa Arsenal, Mzee Arsene Wenger kwa kumpa zawadi maalum kabla ya mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kati ya Arsenal na Man U.Sir Alex...
Afisa Habari wa vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC, Haji Manara amefunguka na kudai kipigo walichokipata Yanga jana Aprili 29, 2018 cha bao 1-0 ni cha heshima kutokana na wao kuwa mabingwa watetezi hivyo isingekuwa vizuri kuwadharaulisha...
Mchezaji wa Liverpool Roberto Firmino ameongeza mkataba mpya wa kuendelea kuichezea klabu hiyo kwa misimu mingine zaidi.Firmino ameasaini mkataba huo ambao utamfanya aweze kulipwa kiasi cha paundi 180,000 kwa wiki ambapo ni zaidi ya shilingi milioni 410 za Kitanzania.Mkataba...
Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba ametumia sherehe ya harusi yake kuzindua rasmi kinywaji chake kinachofahamika kwa jina la Mofaya katika ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ambako harusi hiyo ilikuwa ikifanyika usiku wa kuamkia leo Jumatatu.
Kinywaji...
HII ni kali! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya staa wa filamu Bongo, Wema Isac Sepetu, kutoa kali ya aina yake kwa kueleza namna mazishi yake yatakavyokuwa punde tu Mungu atakapoutwaa uhai wake.Kauli hiyo imekuja ikiwa ni siku chache baada...
BUJUMBURA, BURUNDI: Timu vijana wa Tanzania chini ya miaka 17(Serengeti Boys) wametwaa taji la CECAFA la chini ya miaka 17 kwa mwaka 2018 baada kuifunga Somalia goli 2-0-Katika michuano hiyo Uganda imemaliza ikiwa nafasi ya tatu na Kenya nafasi...