Msanii wa muziki Bongo, Aslay amesema ngoma yake ya mwisho kutoa ‘Kwa Raha’ licha kuendelea kufanya vizuri imekumbana na misukosuko.
Muimbaji huyo amesema ngoma hiyo aliitoa kama zawadi kwa mashabiki wake kwani ngoma yake ya mwisho kutoa rasmi ni Nibebe...
Sherehe ya harusi ya msanii Ali Kiba, iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena, imewachanganya watu mbalimbali wakiwemo wasanii Bilnas na Christian Bella.MCL Digital iliyopata mwaliko katika sherehe hizo ilizungumza na wasanii mbalimbali ambao wamesema Kiba kawadhihirishia kuwa...
Wizara ya Nishati kupitia Naibu Waziri wake Subira Mgalu imemuahidi Mbunge wa Mikumi Joseph Haule (Prof Jay) kwamba itapeleka umeme katika jimbo lake la Mikumi kupitia Mradi wa Umeme wa Vijijini, (Rea) awamu ya tatu, katika mzunguko wa kwanza.Ahadi...
Watu wengi wamekuwa ni waoga sana wa kupata vipimo vya ugonjwa kutokana na madhara ya kisaikolojia yanayojitokeza baada ya kujua kuhusu ugonjwa, wengi huamua kubaki kwenye hali ya sintofahamu.Kupitia dalili zifuatazo unaweza kupata mwanga kama umeambukizwa virusi vinvyosababisha ugonjwa...
Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana. Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri kwa afya ya wote wawili.Hivyo kwa ushauri huwa...
Figo ni kiungo muhimu katikamwili wa binadamu, hufanya kazi ya kuchuja damu huku ikiondoa sumu zote za mwili ,figo hufanya kazi ya kurekebisha kiasi cha maji mwilini (electrolyte level).Kabla damu haijapita katika figo, huwa imebeba maji na taka taka...
Mbinu za kuyakabili maisha hazijabadilika tangu zama hizo hela ianze kushika mkondo: tafuta pesa, bana matumizi, hifadhi ziada, na wekeza kwa umakini.Ili kufanikisha hayo, fanya yafuatayo:-1. Acha matumizi/manunuzi yasiyo ya lazima, mf. kunywa soda/bia nyingi kwa siku, kutoa ofa...