Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemwagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwashughulikia viongozi wanaowahamisha watumishi wa Umma bila kuwalipa stahiki zao.Akiongea leo kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi), mkoani Iringa Rais Magufuli...
Ngoma ya Chege aliyomshiriksha Diamond Platnumz ‘Waache Waoane’ bado ipo kwenye headlines zake za kiburudani.Hii ni baada ya beki wa Liverpool, Dejan Lovren ku-share video mtandaoni akisikiliza na kucheza wimbo huo.Ngoma Waache Waoane ilitoka Augost 4, 2016, wimbo huo...
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Balozi Augustino Maiga ameomba radhi kwa Rais Magufuli kwa niaba ya watu wa Iringa kwa kukosa kura 25 za udhamini kipindi cha kampeni za uchaguzi 2015.Balozi Maiga ameomba radhi hiyo leo...
Nahodha wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars Mbwana Ally Samatta amewapongeza vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys kwa kutwaa ubingwa wa CECAFA Challenge U-17 nchini Burundi.Serengeti Boys Jumapili ilifanikitwa kutwaa ubingwa wa Kombe la...
Maelfu ya raia wa Malawi mwishoni mwa wiki wameandamana kuipinga serikali katika maandamano ya kwanza tangu mwaka 2011.Maandamo hayo yaliyoandaliwa na mashirika ya kiraia yamefanyika katika miji sita nchini humo kupinga vitendo vya ufisadi na utawala mbovu chini ya...
1.PAPARAwanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka wako.
2.KUJIFAKEwanaume wengi tumekuwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia kijana aliyefahamika kwa jina la Nicholas Light (25) mkazi wa Mtaa wa Mahama Ilemela kwa kunyonga mpenzi wake Victoria Swai (26).Inadaiwa kijana huyo alifanya mauaji hayo kwa kumkaba shingo mpenzi wake huyo...
Msanii wa muziki Bongo, Chid Benz amefunguka ukweli wa taarifa zilizodai kuwa ameamua kuokoka.Taarifa hizo zimeibuka mara baada ya kuoneka katika moja ya makanisa, pia akiwa na muimbaji wa nyimbo za Injili, Bony Mwaitege.
Rapper huyo akizungumza na EATV amesema...
Makanisa ambayo yanatoa huduma ya maombi nyakati za usiku yamepigwa marufuku na serikali nchini Kenya kufanya hivyo.
Serikali katika Kaunti ya Narok imesema kuwa maombi hayo yanapelekea mimba za utotoni kuongezeka wengi wao wakiwa ni wanafunzi.
Amri hiyo imetolewa na Kamishna...