Katika hotuba yake leo kwenye maadhimisho ya Siku ya wafanyakazi (Mei Mosi), yaliyofanyika kitaifa Mkoani Iringa, Rais Magufuli ameahidi kupandisha mishahara kwa kiasi kikubwa kabla hajamaliza awamu yake ya uongozi.
''Kipindi changu cha Urais hakitaisha kabla sijapandisha mishahara wafanyakazi. Na...
Wakuu kampuni Kubwa ya muziki , AR na burudani Afrika (HQ Johannesburg South Africa and Lagos Nigeria) DFG Universal Music muda mchache uliopita wametoa top 10 ya wasanii wa Tanzania kupitia kituo cha TV cha TRACE,wanadai wameangalia influence kwny...
Aliyewahi kuwa bwana wake Auntie Ezekiel Pedej'ee Jack Pemba ambaye kwasasa anaishi nchini Uganda akifahamika kwamba ni Raia kutoka Kongo, wiki hii ka trend kwenye vyombo vya habari vya nchini humo baada ya video yake akiwa anakula tunda bila...
Dar-es-Salaam,
Mahakama ya Tanzania lazima iamue juu ya madhumuni ya kiheshima katika kesi ambapo mtu alimuajiri/alimkodi jirani yake ili kumpa mke wake ujauzito.
Inaonekana kwamba Darius Makambako 50 na mke wake Precious 45,walitaka kuwa na mtoto,lakini daktari aliwaambia wanandoa hao kuwa...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Mponjoli Mwabulambo .MWANAMUME mmoja mkazi wa Katoro mkoani Geita aliyetambulika kwa jina la Maganiko Nunda amejiua kwa kunywa sumu kufuatia mgogoro ulioibuka baina yake na mke wake siku hivi karibuni huku chanzo cha...
Msanii wa muziki kutokea nchini Nigeria, Davido ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Assurance. Itazame hapa.
Katika Sherehe za Mei Mosi zilizofanyika Iringa leo Mei Mosi 2018, Rais Magufuli amesema hawezi kupandisha mishahara kwa sasa kama ilivyoombwa na Wafanyakazi kupitia TUCTA kwa sababu fedha zote zinatumika katika kufanya mambo makubwa.Miongoni mwa mambo hayo ni ulipaji...
Msanii wa muziki Bongo, Barakah The Prince amefunguka kuhusu tetesi za kujiunga na label wa WCB.Muimbaji huyo ameiambia Rick Media kuwa WCB ni kama familia yake ila suala la kujiunga na label hiyo halina ukweli wowote.“Hapana, WCB ni kama...
Rais John Pombe Magufuli ametoa agizo kwa Mkuu wa Mkoa Iringa pamoja na RPC mkoani humo kumpatia msaada mwanamama Salmakoni Sanga ikiwa ni pamoja na kumpima kama kweli ametolewa kizazi baada ya kudai kushambuliwa na kijana aliyemtaja kwa jina...
Mwigizaji wa filamu, Aunty Ezekiel amesema anakusudia kuwagawia bure filamu yake mpya Mama ni Mungu wa Dunia atakayoizindua Mei 13 mwaka huu, wageni wote watakaofika siku hiyo.Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Aunty amesema lengo...