Rais John Magufuli amefichua siri ya kukataa kuweka jiwe la msingi katika ukumbi wa jengo lililopo katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mkwawa mkoani Iringa akisema limejengwa kifisadi kwa Sh 8bilioni.Rais ameeleza hayo jana, Mei 2, 2018 wakati akizungumza na...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, (UDSM) Abdul Nondo amesimamishwa masomo ili kulindwa, asipoteza sifa za kuwa mwanafunzi wa chuo hicho.Kusimamishwa chuo kwa Nondo, kuliibua mjadala...
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Amos Meshack (36), mfanyabiashara wa udongo wa pemba, kwa tuhuma za kubaka mtoto wa umri wa miaka tisa, mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Ndala A Manispaa ya Shinyanga.Tukio hilo...
Usiku wa May 1 2018 mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya UEFA Champions League kati ya Real Madrid dhidi ya FC Bayern ulichezwa katika uwanja wa Santiago Bernabeu jijini Madrid nchini Hispania, Bayern wakiingia na kumbukumbu ya kupoteza...