Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewajibu watanzania ambao wanakosoa mpango wa serikali wa kuwapeleka walimu wa sekondari kufundisha shule ya msingi.Rais Magufuli amesema kuwa kitendo hicho ni cha kawaida kwani hakiadhiri mishahara...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli amehoji wanafunzi wa chuo cha Mkwawa iwapo kujua kusoma ni kujua Kiingereza.Rais Magufuli ameyasema hayo jana , Mei 2 wakati akizungumza na wanafunzi pamoja na wafanyakazi wa Chuo Kikuu...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kuwa kuna Kampuni iko Mwanza iliingia Mkataba na King Majuto na Mkataba huo ulikuwa ni wakumlipa Milioni 24 wakatoa check, check hiyo ikawa haina Pesa, Hivyo serikali imewachukulia...
Muigizaji wa filamu Bongo Yusuph Mlela, amesema kitendo cha Mzee Majuto kuomba msaada kwa watu mbali mbali ili aweze kwenda kupata matibabu,ni udhalilishaji mkubwa.Mlela ameyasema hayo kwenye eNewz ya East Africa Television, na kueleza kwamba wao kama wasanii wanatakiwa...
Baada ya Mrembo Wema Sepetu kuweka wazi anakuja na TV Show yake ndani ya Wasafi TV, amefunguka nini hasa kinaendelea kwa sasa.Kipya cha kufahamu ni kwamba kipindi hicho cha Wema Sepetu hakitakuwa reality show kama ilivyokuwa mwanzoni kikiruka EATV.
“Kitakuwa...
Rapa Billnass ambaye anatamba na ngoma ya 'Tagi Ubavu' amefunguka na kudai kipindi hiki kigumu anachokipitia kwa watu kuweka picha zake mitandaoni zikiwa zinamzungumzia ndivyo sivyo zinampa nafasi kubwa ya yeye kuwajua watu zaidi jinsi akili zao zilivyo katika...
Mwanamuziki wa Bongo fleva Barakah The Prince amekumbwa na skendo nzito ya kumpachika mimba mwanamke mwingine ambaye ni mchepuko wake na sasa anadaiwa kuikataa mimba hiyo.Miezi michache iliyopita kuna tetesi zilisambaa kuwa Barakah alionekana mkoani Mwanza na mwanamke mwingine...
Liverpool wamefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya dhidi ya AS Roma ya Italy.Liverpool imetinga hatua hiyo baada ya kukubali kichapo cha mabao 4-2 ugenini, lakini inasonga mbele kufuatia ushindi wa 5-2 katika mechi ya...
Msanii wa filamu Tanzania, Wema Sepetu, akizungumza jambo kwa niaba ya wasanii wenzake mara baada ya kutambulishwa rasmi kuwa mabalozi wa StarTimes.Mkurugenzi wa StarMedia Tanzania, Wang Xiaobo, mwenye suti akiwakabidhi madishi ya televisheni mabalozi hao.…Akijiandaa kupiga mpira ulio mbele...
Wiki Kadhaa baada ya Video yao ya uchi kusambaa mitandaoni, Bill Nass amefunguka kuwa tayari kuna kuna ngoma ameshafanya na Nandy muda ukifika wataachia.Hit maker huyo wa Tagi Ubavu amesema hayo katika kipindi cha Kikaangoni cha EATV na kuongeza...