Baada ya mchezo wa leo wa Kariakoo Derby Simba inajichimbia kileleni kwa kufikisha pointi 62 baada ya michezo 26. Yanga wapo katika nafasi ya 3 wakiwa na pointi 48 lakini wanamichezo miwili mkononi (viporo). Sasa Simba inahitaji pointi 5...
Mbegu za Flax (Flax seeds): Wanaume wanapaswa kufahamu aina ya vyakula ambavyo si rafiki kwao katika kuongeza kiwango cha homoni ya kiume iitwayo testosterone inayochochea sifa ya mwanaume yaani kuwa na nguvu za kiume. Baadhi ya vyakula visivyofaa kuliwa na...
Uongozi wa klabu ya Yanga umewataka Waamuzi watakaochezesha mchezo wa kesho dhidi ya Simba kufuata sheria 17 za mchezo wa soka.Kauli hiyo imetolewa na Yanga kupitia Afisa Habari wa timu hiyo, Dismas Teni, ambapo kikosi chao kitakuwa mgeni dhidi...
Kuelekea mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga, kocha na mchezaji wa zamani wa Simba, Abdallah Kibadeni amewataka wachezaji kila mmoja kucheza kwa uwezo wake ili kuonyesha kipaji alichonacho na mwisho wa siku aisaidie timu.“Naziomba hizi timu mbili...
Msanii wa Filamu nchini, Mzee Majuto amerudishwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambapo awali alikuwa akipatiwa matibabu kabla ya kuhamishiwa hopitali ya binafsi, Tumaini.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kuwa serikali imeamua kumrudisha Hospitali...
Contact Madam Flora:
Simu/WhatsApp: +255 758 105 014
Facebook: Madam Flora Henry
Instagram: @flora_madam
Youtube: Madam Flora