Wolper Atoa Mpya asema ana Pesa Maalumu ya Kusafiri Ulaya Miaka Miwili
Muigizaji maarufu nchini, Jacquelin Wolper ambaye kwasasa amejikita kwenye maswala ya ubunifu wa mavazi amefunguka kuwa siku hizi amekuwa mtu wa kusafiri sana nchini za nje mpaka amefikia hatua ya kujitengea bajeti ya miaka miwili kwa ajili ya kusafiri tu na kikubwa anachofata huko ni kujifunza vitu mbalimbali. Akipiga story na Mwandishi wa Habari Wolper amesema "Nina Bajeti ya miaka miwili...
Vanessa Mdee “Mimi Sio Muongeaji Mitandaoni ila ilibidi Niseme Siku na Huyu Mtu tena’
“Mimi sio mtu wa kuzungumza chochote kwenye mitandao ya kijamii, lakini ilifika wakati nikaona ngoja niwaelezee watu ukweli, niliona ni vizuri kulinda brand yangu kwa kuweka ukweli wazi kuwa sipo na huyo mtu kwenye mahusiano, Kwa sasa nipo single” | Ameyasema hayo Vanessa Mdee katika kipindi cha XXL
Siwema wa Nay wa Mitego Afunguka “Nilikuwa na Mambo ya Kitoto na Tamaa”
MWANADADA mjasiriamali ambaye pia ni mzazi mwenza na mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson amekiri kuwa, kipindi cha nyuma alipoteza muda mrefu kutokana na mambo ya kitoto aliyoyafanya yaliyomfanya apotee kwenye kusaka mafanikio ya haraka. - Akizungumza na Risasi Jumamosi, Siwema ambaye kwa sasa anamiliki duka kubwa la nguo jijini Mwanza, alisema kilichomsaidia ni kwamba alikubali aliyumbishwa na...
Harmonize Kujitoa Wasafi Giza Nene Latanda
DAR ES SALAAM: Ni giza nene! Madai yenye ujazo wa kutosha yanaendelea kutikisa kwamba memba wa Wasafi Classic Baby (WCB), Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’ huenda akawa amejitoa kwenye lebo hiyo au pia yaweza kuwa vinginevyo, Gazeti la Ijumaa limeichimba kwa undani habari hii. MADAI YA AWALI Awali, madai ya bwa’mdogo huyo kutoka umakondeni Mtwara kujitoa yalianza kuibuka mara tu baada ya...
Mataifa ya Afrika Mashariki kupambana kufuzu CHAN 2020
Michuano ya soka mzunguko wa kwanza, kuwania fainali ya bara Afrika kuwania taji la CHAN kwa wachezaji wanaocheza soka katika ligi za nyumbani mwaka 2020 nchini Cameroon, itachezwa mwishoni mwa wiki. Mataifa 16 yatashiriki katika michuano hiyo na yatafuzu kutoka kanda zote za mchezo wa soka barani Afrika. Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, itatoa mataifa mawili yatakayofuzu katika michuano...
Vanessa Mdee Claims She Was Shortlisted for Beyonce’s Album But Wasn’t Called
Everyone is complaining that Beyonce ignored Kenyan and East Africa in general for her new album The Gift. But according to Tanzanian singer Vanessa Mdee, Beyonce’s team actually was in talks with a few East African names for the album but the talks didn’t materialize to anything. The singer shared in an interview with Lil Ommy TV saying that Beyonce’s teamed...
Zari Hassan “My new husband is the most google man in Africa but I won’t post his face”
According to Zari, King Bae was the most googled man in Africa this past month as fans want to know his face. Four countries, Kenya, Uganda, South Africa and Tanzania are all interested in knowing who has just married her. “He’s the most searched face BUT I CAN’T POST HIM. He’s safe where he is. He’s not into social media...