How Rosa Ree rescued Timmy Tdat’s Music Career
In my opinion, Timothy Owuor, alias Timmy Tdat has Rosa Ree to thank for salvaging his music careers because let’s be honest, the Wembe hit maker was done and dusted before she appeared out of the blue. For the most part of 2018, most people, including yours truly, felt like Timmy was just releasing songs for the sake of it....
Mbinu za kumfanya mwanamke akupende pasipo kumtongoza
Ushawahi kujikuta katika hali ambayo unashindwa kujua utaanza vipi kuongea na mwanamke? Ni mwanamke mzuri ambaye moyo wako unamtamani lakini akili yako inashindwa kutengeneza mawazo ya jinsi utakavyoanzisha stori na yeye. Unabakiwa ukimuangalia akikupita mbele yako, ama mbaya zaidi anakuja kuchukuliwa na wanaume wasiokuwa na thamani yeyote kwa maisha yake. Unabakia na majutio na mawazo ya "kama ningeweza kujiamini mbeleni...
Lulu Diva Afunguka Uhusiano Wake na Jaguar ‘Jaguar ni My Crush muda mrefu ‘
Msanii wa Bongofleva mwanadada Lulu Diva, ameweka wazi uhusiano wake na msanii Jaguar, ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Starehe huko Kenya kwa kusema kuwa wawili hao ni marafiki wa muda mrefu. Lulu Diva ameweka bayana hilo kwenye Friday Night Live ya East Africa Television ambapo amesisitiza kuwa yeye binafsi anamkubali Jaguar muda mrefu sana, lakini hajui kama mkali...