Ajinyonga kisa kanyimwa kitoweo cha samaki mbichi. Duh! Imekaaje?

0

Mkazi mmoja wa kijiji cha Kalundi kilichopo kata ya Kipande wilayani Nkasi, Vedast Kazumba (51) amejiua kwa kujinyonga kwa kile kinachodaiwa kuwa alighadhabika baada ya mkewe kumnyima kitoweo cha samaki mbichi.Tukio hilo lilitokea usiku wa mkesha wa Mwaka Mpya na kwamba Kazumba alifikia uamuzi huo mgumu kwa kujinyonga akitumia kamba ya katani .Kamanda wa Polisi Mkoa...