Chelsea yaishinda Peterborough United 4-1
Nahodha wa Chelsea John Terry alitimuliwa uwanjani dakika ya 66, baada ya kupewa kadi nyekundu, ambayo ndiyo yake ya kwanza tangu mwezi Oktoba wakati ambapo Chelsea wamewanyuka Peterborough mabao 4-1. Chelsea waliitawala mechi hiyo licha ya kukabiliwa na mashambulizi kadha kutoka kwa Peterborough. Terry alipewa kadi nyekundi baada ya kumchezea vibaya mshambulizi Angol. Kutimuliwa kwa Terry...
The Emerates FA CUP Raundi ya 3,Matokeo Man u yapiga bao 4-0,Arsenal yashinda
MATOKEO MECHO ZA LEO