Manchester United yapokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Brighton...
Timu ya Manchester United ilipokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa wenyeji wao Brighton,mechi ya ligi kuu uingereza iliyochezwa majira ya saa 4 jana...
Hiki ndicho Kinachomsumbua Dolnad Ngoma Daktari wake Atoboa Siri.
MASTAA wa Yanga, Donald Ngoma na Amissi Tambwe, bado ni majeruhi na hawatarajii kurejea uwanjani hivi karibuni, sasa daktari mmoja mtaalam wa afya za...
Mandojo Afunguka Thamani ya Nyumba Yake Iliyovunjwa…. Asema ni Zaidi ya...
Msanii mkongwe wa Bongo Flava, Man Dojo amesema nyumba yake iliyovunjwa ilikuwa na thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni 150.Man Dojo amesema kiasi hicho...
Tunda Akinukisha Tena Amtolea Povu Hamissa Mobetto Kisa Daimond.
KIMENUKA! Muuza sura kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva, Tunda Sebastian ‘Tunda’ amelikoleza bifu lake na mwanamitindo Hamisa Mobeto baada ya kumpa...
Kuhusu Kurudi Lissu Familia Yafunguka Haya.
FAMILIA ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, kupitia kwa msemaji wake Alute Mughwai Lissu, imekanusha taarifa zilizokuwa zikisambaa mitandaoni zikidai mbunge huyo...
Joti Atoa Ufafanuzi Kuhusu Kubomolewa kwa Nyumba Yake.
Kufuatia nyumba yake iliyopo Kisarawe kupigwa alama ya X huku akisemekana anatakiwa aibomoe kupisha upanuzi, Komedian maarufu nchini, Lucas Mhavile ‘Joti’ amefungukia tukio hilo...
Mwigulu Nchemba: Wasioridhishwa na utendaji wa polisi waripoti kwangu.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Mwigulu Nchemba amewataka wasioridhishwa na utendaji kazi wa Jeshi la Polisi kukata rufaa kwake.Pia, amewataka wanasiasa...
Mbunge Aibua Sakata la Vifo vya Mtikila na Chacha wangwe Bungeni.
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Janeth Masaburi amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Mwigulu Nchemba kutoa taarifa bungeni juu ya vifo...