YANGA YAPOKEA KIPIGO CHA BAO 4-0 BILA KUTOKA KWA USM ALGERS.

0
#CafCC Nchini Algeria mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi #KombeLaShirikisho umemalizika, na Yanga imepoteza pointi zote tatu kwa kupokea kichapo cha mabao 4-0.

FULL TIME: Barcelona 2-2 Real Madrid

0
INFO BARCELONA DWWDW 2 - 2 REAL MADRID DDWWD Competition La Liga Date 6 May 2018 Game week 36 Kick-off 21:45 Half-time 1 - 1 Full-time 2 - 2 Venue Camp Nou (Barcelona) Attendance 97939 GOALS L. Suárez 10'(assist by Sergi Roberto)  1 - 0 1 - 1 14' Cristiano Ronaldo (assist by K. Benzema) L....

AZAM YAKUBALI KICHAPO MJINI SHINYANGA,MATOKEO YA LIGI KUU LEO YAKO HAPA.

0
Kikosi cha Azam Fc kimekubali kichapo cha bao 2-1 kutoka kwa wapiga debe wa Stand United kutoka Shinyanga.Mabao ya Stand yamefungwa na Sabilo pamoja...

Imesalia Pointi 1 Simba kutangaza Ubingwa.Ni baada ya kuichapa Ndanda FC...

0
Kikosi cha Simba kimeendelea kuunusa ubingwa wa Ligi Kuu kwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ndanda FC.Bao pekee katika mchezo huo...

Rapa Stamina na mchumba wake wafunga ndoa, Roma na mkewe wanogesha...

0
Hatimaye rapa Stamina amefunga ndoa  na mchumba wake wa muda mrefu ajulikanaye kwa jina la Veronica jana Mei 05, 2018 mjini Morogoro katika kanisa...

CHELSEA INAIALIKA LIVERPOOL LEO,LIGI KUU ENGLAND.

0
Klabu ya Chelsea inaikaribisha Liverpool leo kwenye Uwanja wa Stamford Bridge katika mchezo wa Ligi Kuu England.Chelsea watakuwa wanaialika Liverpool baada ya kushindwa kuutetea...

#ElClasico :LEO NI BARCELONA VS MADRID,ZIDANE ATOA KAULI TATA KUELEKEA MCHEZO...

0
Ligi Kuu Spain inaendelea leo kwa Mabingwa watetezi wa taji hilo FC. Barcelona wakiwa wanakawaribisha Real Madrid kwenye Dimba la Cam Nou. Barcelona wanashuka dimbani...

Matokeo na Ratiba ligi kuu Tanzania Bara.Simba kuwavaa Ndanda jumapili ya...

0
Ligi Kuu Tanzania Bara iliendelea tena Jumamosi ya jana kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja tofauti. Singida United iliyokuwa katika Uwanja wake wa nyumbani imefanikiwa...