Home Uncategorized Mwasiti asimulia alivyoporwa na vibaka kwenye foleni Ubungo Uncategorized Mwasiti asimulia alivyoporwa na vibaka kwenye foleni Ubungo By admin - June 7, 2018 2 0 Facebook Twitter Pinterest WhatsApp Muimbaji Mwasiti amethibitisha kuporwa na kibaka kwenye foleni alipokuwa mataa ya Ubungo DSM, ambapo amesema ni kweli ameibiwa kibegi ambacho kilikuwa na baadhi ya vitu vyake. Msikilize hapa Mwasiti akielezea Bonyeza PLAY hapa chini.