Msanii wa muziki wa Hip-Hop kutoka Rock City Mwanza, ameachia kibao chake kinachoenda kwa jina la ‘NIKUMBUKE’. Wimbo huo amemshirikisha ‘De Opera’ ambaye pia ndiye aliyefanya production ya wimbo huo ikiwa ni chini ya De Opera Music Label.
Furahia kwa kusikiliza wimbo huo. Pia unaweza sambaza kwa rafiki pia.















