Home Video Shusho kuachia video ya wimbo wa MUUJIZA hivi karibuni. Video Shusho kuachia video ya wimbo wa MUUJIZA hivi karibuni. By admin - July 22, 2018 7 0 Facebook Twitter Pinterest WhatsApp Telegram Msanii wa nyimbo za injili afrika mashariki Christina Shusho,anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya “Muujiza“. Shusho amechapisha kipande cha video katika ukurasa wake wa Instagram wakiwa location. Tazama video hapa chini.