Disclaimer
Disclaimer for Imekaaje. If you require any more information or have any questions about our site's disclaimer, please feel free to contact us by email at imekaajetz@gmail.com Disclaimers for www.imekaaje.com: All the information on this website is published in good faith and for general information purpose only. www.imekaaje.com does not make any warranties about the completeness, reliability and accuracy of this information. Any...
Diamond na Rayvanny Waomba Msamaha BASATA na Serikali Baada Ya Kufungiwa.
Wasanii wa muziki wa Bongo fleva kutoka Katika Label ya WCB Diamond Platnumz na Rayvanny ameibuka na kuomba Radhi kwa serikali na BASATA siku chache Baada ya kufungiwa. Wiki iliyopita Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) walitangaza kuwafungia wasanii Diamond Platnumz na Rayvanny Baada ya kukaidi amri yao na Kuperfom wimbo wa Mwanza uliofungiwa kwenye tamasha lao la Wasafi Festival. BASATA Walitangaza...
Diamond Platnumz Atishia Kuondoka Tanzania na Kuchukua Uraia Kenya
Ameandika Ibrahim Augustine Mwimbaji maarufu na CEO wa WCB namzungumzia Diamond platnumz ametishia kuondoka Tz na kuhamia nchini Kenya hii ni kwa sababu nyimbo zake kufungiwa kila wakati na BASATA Maneno haya ameyasema kipindi akihojiwa na Times FM , nimekutana na Video Youtube. Niki nukuu maneno yake "Mimi kama nyimbo zangu wataendele kuzifungia fungia hivi itabidi nisepe sasa wanataka tifa na mama...