Mwanamke anavyoweza kumuokoa mwanaume kwenye tatizo la nguvu za kiume
Upungufu wa nguvu za kiume huweza kuchangiwa na sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na magonjwa. Wanaume wanaougua maradhi ya kisukari huweza kuwa katika hatari kubwa ya kukubwa na upungufu wa nguvu za kiume kuliko wanaume wasio na maradhi hayo. Inapotokea sukari haikudhibitiwa katika damu huweza kusababisha kuharibika kwa neva na misuli midogo inayodhibiti kusimama kwa uume.Hata hivyo mbali na sababu hizo...