Ajinyonga kisa kanyimwa kitoweo cha samaki mbichi. Duh! Imekaaje?

0
Mkazi mmoja wa kijiji cha Kalundi kilichopo kata ya Kipande wilayani Nkasi, Vedast Kazumba (51) amejiua kwa kujinyonga kwa kile kinachodaiwa kuwa...