Hii Ndio Adhabu na Faini Utakayo Pewa Utakapokutwa Umevaa Sare za...

0
#IjueSheria: Mtu yeyote ambaye hatumikii Jeshi la Ulinzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wala Jeshi lolote la Polisi lililowekwa kwa Sheria akivaa bila...

Breaking News: Maafisa Watatu wa TIC Wafariki Dunia Kwenye Ajali ya...

0
MAOFISA watatu wa Kituo cha Uwekezaji cha nchini  (Tanzania Investment Center (TIC) wamefariki dunia katika  ajali ya gari usiku wa kuamkia leo maeneo ya...

Alichokisema Hamisa Mobetto Kuhusu Kupigwa na Mama Diamond.

0
Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefunguka kuhusu taarifa zilizodai kuwa amepigwa na mama mzazi wa Diamond Platnumz, Sanura Kassim ‘Sandra’.Hapo jana katika uzinduzi wa kipindi cha...

Zitto Ahoji Uhalali Wa Mkuchika Kukaimu Uwaziri Mkuu

0
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amehoji ni kwanini Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi, George Mkuchika akaimu nafasi ya Waziri Mkuu bungeni...

Tanzania Hatuna Bahati Kwenye Mpira..Ngorongoro Heroes yafungashiwa vilago U20.

0
Vijana wa timu ya taifa chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes wametupwa pembeni ya mbio za kuwania tiketi za Fainali za U20...

Kichuya Azuiliwa na Baba Yake Kuongeza Mkataba Mwingine Simba

0
BABA Mzazi wa Kiungo Mshambuliaji wa Simba Shiza Kichuya mzee Ramadhani Kichuya amemzuia mwanaye kuongeza mkataba mwingine mpya wa kuendelea kuichezea timu hiyo hadi...

Aliyepasuliwa Kichwa Badala ya Mguu Kulipwa Milioni 100.

0
Mahakama Kuu imeamuru Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu ya MOI kumlipa fidia ya Milioni 100 Emmanuel Didas aliyefanyiwa upasuaji wa...

Diamond Sheik Kipozeo Wazindua Kipindi cha ‘Nyumba ya Imani’ cha Wasafi...

0
MKALI wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,  na Shekhe maarufu jijini Dar, Shekhe Kipozeo, usiku wa kuamkia leo walishirikiana kuzindua kipindi kipya cha...