Mbunge Mtama, Nape Nnauye amejikutaka akijibu hoja mbali mbali mtandaoni kufuatia mtandao wa Jamii Forums kusitisha kutoa huduma.Utakumbuka Jamii Forums wamefikia hatua hiyo kutokana na kanuni za maudhui ya kimtandao za mwaka 2018.Sasa Nape Nnaye alianza kueleza hisia zake...
Sakata la Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) kutekeleza kanuni za maudhui, limewasilishwa bungeni na mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea akitaka maelezo ya kina ya Serikali kwani inaminya uhuru wa habari.Kubenea akitumia Kanuni ya 47 (1) (2)...
Msanii Bill Nass amesema stakata la kuvuja kwa video ya faragha kati yake Nandy haukumuachanisha na mpenzi wake.Rapper huyo amesema kwa kipindi hicho mpenzi wake ndio alikuwa mtu wake wa karibu zaidi.“Hapana sijaaachana na mpenzi wangu nipo naye hadi...
Serikali inaangalia namna ya kuhakikisha wanaume wenye wake zaidi ya mmoja wanaingiza wenzi wao hao kwenye huduma ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).Ahadi hiyo ilitolewa jana bungeni jijini hapa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
Katibu Mteule wa Serikali ya Wanafunzi kitivo cha Sayansi ya Jamii katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Hussein Amri Aman, amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu mwanafunzi Maria Godian Soko aliyefariki dunia kwa ajali kuwa alikuwa mjamzito na kwamba...
Baada ya kuficha kwa muda mrefu kuhusu timu anayoshabikia hapa Bongo, Dimond Platnumz ameamua kuweka wazi.Akiongea na Wasafi TV usiku wa jana kwenye ugawaji wa tuzo za Mo Simba Award 2018, msanii huyo amesema yeye hawezi kujiita Simba akashabikia...
Yakiwa yamepita masaa machache tokea zilipovuma tetesi za mauji ya muuguzi mmoja mkoani Mwanza dhidi ya askari Polisi mkoani humo, Jeshi la Polisi limefunguka na kukanusha taarifa hizo huku wakiwataka waandishi wa habari kuacha kuandika vitu kwa mihemuko bila...
DADA wa staa wa Afro- Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnamuz’, Esma Khan ‘Esma Platnumz’ amefunguka kuwa, mwezi huu wote yupo bize kumsubiri mzazi mwenza wa kaka yake huyo ambaye ni wifi yake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.Akizungumza na...