Muigizaji maarufu nchini, Jacquelin Wolper ambaye kwasasa amejikita kwenye maswala ya ubunifu wa mavazi amefunguka kuwa siku hizi amekuwa mtu wa kusafiri sana nchini za nje mpaka amefikia hatua ya kujitengea bajeti ya miaka miwili kwa ajili ya kusafiri...
“Mimi sio mtu wa kuzungumza chochote kwenye mitandao ya kijamii, lakini ilifika wakati nikaona ngoja niwaelezee watu ukweli, niliona ni vizuri kulinda brand yangu kwa kuweka ukweli wazi kuwa sipo na huyo mtu kwenye mahusiano, Kwa sasa nipo single”...
MWANADADA mjasiriamali ambaye pia ni mzazi mwenza na mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson amekiri kuwa, kipindi cha nyuma alipoteza muda mrefu kutokana na mambo ya kitoto aliyoyafanya yaliyomfanya apotee kwenye kusaka mafanikio ya haraka. - Akizungumza na...
DAR ES SALAAM: Ni giza nene! Madai yenye ujazo wa kutosha yanaendelea kutikisa kwamba memba wa Wasafi Classic Baby (WCB), Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’ huenda akawa amejitoa kwenye lebo hiyo au pia yaweza kuwa vinginevyo, Gazeti la Ijumaa limeichimba...
Michuano ya soka mzunguko wa kwanza, kuwania fainali ya bara Afrika kuwania taji la CHAN kwa wachezaji wanaocheza soka katika ligi za nyumbani mwaka 2020 nchini Cameroon, itachezwa mwishoni mwa wiki. Mataifa 16 yatashiriki katika michuano hiyo na yatafuzu kutoka...
Everyone is complaining that Beyonce ignored Kenyan and East Africa in general for her new album The Gift. But according to Tanzanian singer Vanessa Mdee, Beyonce’s team actually was in talks with a few East African names for the album...
According to Zari, King Bae was the most googled man in Africa this past month as fans want to know his face. Four countries, Kenya, Uganda, South Africa and Tanzania are all interested in knowing who has just married...