Mkali toka WCB the firstlady herself Queen Darleen anayetamba na ngoma kali kitaa ya Kijuso kafunguka kupitia Amplifaya ya Clouds fm leo hii kwenye interview na Minah kwamba yeye hana bahati ya kukaa na mwanaume,akikaa na mwanaume kidogo tu...