MAMA wa aliyekuwa nguli wa filamu Bongo marehemu Steven Kanumba,Flora Mtegoa amemkingia kifua mwanadada Hamisa Mobeto, baada ya mrembo huyo kuonekana mnafiki kwa kumsikitikia muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ kisha kuonekana akiwa beneti na mama huyo.Hivi karibuni, Mobeto alionekana kwenye...