Home Uncategorized Beki wa Liverpool Ajirekodi Akicheza Acha Waoane ya Daimond na Chege.

Beki wa Liverpool Ajirekodi Akicheza Acha Waoane ya Daimond na Chege.

2
0



Ngoma ya Chege aliyomshiriksha Diamond Platnumz ‘Waache Waoane’ bado ipo kwenye headlines zake za kiburudani.

Hii ni baada ya beki wa Liverpool, Dejan Lovren ku-share video mtandaoni akisikiliza na kucheza wimbo huo.


Ngoma Waache Waoane ilitoka Augost 4, 2016, wimbo huo uliotayarishwa Wasafi Records hadi sasa una views Milioni 8.3 katika mtandao wa YouTube. 

Previous articleWaziri Mahiga Aomba Radhi kwa Rais Magufuli Kisa Hiki Hapa.
Next articleRais JPM Atoa Agizo Hili kwa Waziri Majaliwa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here